permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ukiona mtu anamnukuu Eymael jua na yeye ana shida, kwanza watu "educated hawaropoki kama yule chizi, hapo kasomea ukocha tu, hivi angekuwa ni mtaalam wa physics au hesabu si angeota pembe kabisa?Sasa hapa ndiyo inasadifu yale Maneno ya Eymael aliyotuita sisi washabiki wa Yanga kuwa "Uneducated". Yani Stock ya Msimu uliopita tulishindwa kuiuza hata nusu yake mpaka GSM wakatishia kutokutoa Jezi mpya mpaka zimalize za Msimu uliopita halafu tuje tununue Jezi za Simba tupigie Deki? Bora tunyamaze tu.
Ni mchezaji wa SimbaMbona unaweka Picha ya aliyekuwa mchezaji wa Azam kwenye Habari inayohusu timu yangu pendwa ya Yanga?
Huku tandale kwa mtogole mwizi kaiba vibanio kwenye kamba akaacha jezi ya Yanga.Huku mikoani jezi ya Simba hutumika kama madekio.
Vijora fc[emoji196][emoji196][emoji196][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji23][emoji23][emoji23]Salaam Wananchi,
Kwa Masikitiko makubwa Mimi nikiwa Yanga kindakindaki sikubaliani na hili, Yani Simba watengenezewe Jezi halafu sisi tutengenezewe Vijora?
Kwa Vijora hivi sisi hatukubaliani na GSM kabisa.
Ona sasa Watani zetu wameshatupatia a.k.a mpya wanatuita VIJORA FC.
GSM munatukwaza.
Onesha videoTaarifa hizi unazo? View attachment 1571485
Dah...Umeanza kushabikia yanga mwaka gani kwanza !! View attachment 1572055
Sagula sagula, mambo ya buku buku tuSalaam Wananchi,
Kwa Masikitiko makubwa Mimi nikiwa Yanga kindakindaki sikubaliani na hili, Yani Simba watengenezewe Jezi halafu sisi tutengenezewe Vijora?
Kwa Vijora hivi sisi hatukubaliani na GSM kabisa.
Ona sasa Watani zetu wameshatupatia a.k.a mpya wanatuita VIJORA FC.
GSM munatukwaza.
Simba ni klabu ya kipumbavu sana, muda wote wako bize kufuatlia mambo ya Yanga, Sasa hivi nchi nzima inaimba jina la CARHINHO, yule jambazi wa magari morison kashapotea, sisi ndio wananchi tunampandisha mchezaji na kumshusha
Sagula sagula, mambo ya buku buku tu
Wengine wanasema "nguvu ya buku."View attachment 1573055
Ha haah, hizo ni orijino usitake kupotosha hapa, mbumbumbu wewe. Iweje makao makuu ya mikia yawe Kariakoo halafu jezi feki ziuzwe hapo hapo? Usitufanye watoto, huo utetezi kautoe kwenye kitchen party (in Rage's voice!)Yani unazidi kuprove kuwa maneno aliyosema aliyekuwa Kocha Wetu Mtaalamu Eymael ya kutuita " Uneducated " hakukosea!
Hivi hujui kuwa hata Jezi za Manchester, Barcelona Real na Liverpool zinatolewa Fake na kuuzwa kwa Mafungu pale Kariakoo?
Ha haah, hizo ni orijino usitake kupotosha hapa, mbumbumbu wewe. Iweje makao makuu ya mikia yawe Kariakoo halafu jezi feki ziuzwe hapo hapo? Usitufanye watoto, huo utetezi kautoe kwenye kitchen party (in Rage's voice!)
Mikia akasema mbumbumbu fc. Unapenda kujitambulisha kama Yanga sio? Itafika wakati kila mtanzania atashabikia timu ya wananchi, acha papara. Kwa sasa chukua za uso kwanza.Sisi washabiki wa Yanga huwa hatuongei Pumba Mkuu, wewe huenda ni katika wale Walioitwa Nyani.
Biashara matangazoSisi washabiki wa Yanga huwa hatuongei Pumba Mkuu, wewe huenda ni katika wale Walioitwa Nyani.
Hii shuka nayo tuijadili?View attachment 1573242
Tambara la dekiHii shuka nayo tuijadili?View attachment 1573242