permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ukiona mtu anamnukuu Eymael jua na yeye ana shida, kwanza watu "educated hawaropoki kama yule chizi, hapo kasomea ukocha tu, hivi angekuwa ni mtaalam wa physics au hesabu si angeota pembe kabisa?Sasa hapa ndiyo inasadifu yale Maneno ya Eymael aliyotuita sisi washabiki wa Yanga kuwa "Uneducated". Yani Stock ya Msimu uliopita tulishindwa kuiuza hata nusu yake mpaka GSM wakatishia kutokutoa Jezi mpya mpaka zimalize za Msimu uliopita halafu tuje tununue Jezi za Simba tupigie Deki? Bora tunyamaze tu.