Yani wewe uwezi kufanya market Tanzania. Unapofanya suala la marketing angalia culture ya watu husika na nini watu wanahitaji kwa wakati huo.Kama ingewezekana baadhi ya mambo kabla ya kupitishwa rasmi basi uongozi/viongozi wangetoa nafasi ya kupata maoni toka wapenzi, nk.
Mfano, kama nafasi ya maoni ingetolewa kuhusu slogan ya mwaka huu ya "IGA UFE, THIS IS NEXT LEVEL" kabla ya kupitishwana au kutangazwa rasmi nadhani watu wengi sana wangeshauri kuachana na maneno ya IGA UFE. Hili neno halijakaa vizuri. Linaakisi kama neno la MIPASHO fulani hivi. Labda lingetafutwa neno la mshikamano zaidi. Mfano, "Simba Tushikamane, This is Next Level " Ten Years.........
Hao mashabiki wenyewe aslimia 89 wanashikiwa akili.Clubs za mpira nyimbo yake inakuwa moja tu mfano BARCA, LIVERPOOL, MADRID,BAYERN
hizo team nyimbo yao waga haibadiriki kabiasa.
nashangaaga sana bongo mara nyimbo kaimba msagasumu , mara tundaman, mara Steve Nyerere, mara shilole ,sunura ,mara sholo mwamba,tena wanaimba wakitoka kuvuta bangi nyimbo inakuwa kama wameimbiwa wahuni flani Tu.
mashabiki wa izo team washaurini kina manara waache uswahili Kwenye mpira soccer sio kigodoro.
Wimbo wa Klabu ni sawa na wimbo wa Taifa. Unatakiwa kwanza uimbwe kiheshima sana. Sasa huo wimbo gani? Sema hata hivyo % kubwa ya mashabiki ni waswahili akili ya kushikiwa.Yani wewe uwezi kufanya market Tanzania. Unapofanya suala la marketing angalia culture ya watu husika na nini watu wanahitaji kwa wakati huo.
Wakati huo Yanga wameiga kuweka wiki ya mwananchi unafikiri Wanasimba walikua wanahitaji nini?
Ni wimbo wa kutangaza utalii kuhusu Mnyama Simba na sio Simba FCNimeusikiliza nikakosa cha kusema. Ni mbovu, hauna chorus na kikawaida chorus ndio hushikwa na mashabiki. Tatizo hawajashirikisha watu bali walijifungia studio.
Wimbo hata hjeleweki kinaimbwa nini. Huu sio wimbo wa Simba.
Huu hapa chini
Yaani wewe ka si ushabiki na mihemko basi ni miongoni mwa wale unaosema wanashikiwa akili.Wimbo wa Klabu ni sawa na wimbo wa Taifa. Unatakiwa kwanza uimbwe kiheshima sana. Sasa huo wimbo gani? Sema hata hivyo % kubwa ya mashabiki ni waswahili akili ya kushikiwa.
Bora tenda tungempatia msaga sumuKuna wimbo sikumbuki ni mwaka gani ila simba ilikua inacheza na Al shandy nadhani sina uhakika.
Simba ilishinda hii mechi ukapigwa wimbo kuhusu Simba, ulikua wimbo mzuri mtu unatamani hadi kucheza, bora hata ungewekwa ule.