Kwa hili la Yanga kupigwa faini Simba SC ndio wa kulaumiwa

Mmeonewa
 
Mtoto ulieavyo ndo akuavyo TFF wame wadekeza hao watoto mapacha hayo matukio yame anza kitambo kipindi kile AC Vita walilamika kupuliziwa dawa, Namungo nao walifanyia matukio wale wa Angola, Platinum pia walilamika kupuliziwa dawa na covid the same to Rivers
 
Sasa kupulizia madawa kwenye vyumba vya wapinzani wako, si ndio ushamba wenyewe huo!!!kupita geti lingine , kuruka ukuta wa uwanja si ndio ushamba wenyewe huo?!!na kwa timu hii ya kuunga unga uliyonayo msimu huu, mbona tutashuhudia mengi!!!
Ila we ni uto ata ukijificha
 
Simba hatuna fala kama wewe, tafuta timu nyingine ya kushabikia.
 

Hata hili la Simba Kukwama kwa usafiri wa kwenda na kurudi Botswana wakulaumiwa ni timu ya Yanga ktk hili
 
We ndiyo maandazi na umeandika umaandazi wako. Lini Simba ilishashtakiwa kwa hayo. Utopolo mnapiga watu/wageni na vitu vizito kichwani! Halafu mchekewe tu

Angalia hata mechi za ligi juzi ngao ya jamii mnaingiza hadi waganga vyumba vya kubadilishia.Mnaruka ukuta kuingia uwanjani.Timu inapita milango isiyoruhusiwa.

Kule Nigeria tulimwona yule Msukule yuko mpaka kwenye benchi la ufundi.Unajiuliza aliendaje pale?

Sijazungumzia kukimbia mechi.

Hizi tabia Ni sugu kwa utopolo,hata hiyo adhabu Ni ndogo sana.

Utopolo mna akili kweli nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…