Kwa hili la Yanga kupigwa faini Simba SC ndio wa kulaumiwa

Kwa hili la Yanga kupigwa faini Simba SC ndio wa kulaumiwa

Yanga ndio kwanza mwaka huu ameshiriki michuano mikubwa, lakini mbona CAF, wametoa onyo kwa uhuni unaofanywa na timu za Tz, kwenye vyumba vya kubadirishia nguo, kuwa kuna dawa zimekuwa zikipulizwa?na ushahidi upo wa video SIMBA, wakifanya hayo!!!tatizo letu chama cha soka kinaziogopa sana hizi timu mbili!!kama vipi wapige ban tu mechi zote za virabu zichezwe nje,
Mmeonewa
 
Mtoto ulieavyo ndo akuavyo TFF wame wadekeza hao watoto mapacha hayo matukio yame anza kitambo kipindi kile AC Vita walilamika kupuliziwa dawa, Namungo nao walifanyia matukio wale wa Angola, Platinum pia walilamika kupuliziwa dawa na covid the same to Rivers
 
Sasa kupulizia madawa kwenye vyumba vya wapinzani wako, si ndio ushamba wenyewe huo!!!kupita geti lingine , kuruka ukuta wa uwanja si ndio ushamba wenyewe huo?!!na kwa timu hii ya kuunga unga uliyonayo msimu huu, mbona tutashuhudia mengi!!!
Ila we ni uto ata ukijificha
 
Ungekuwa mfuatiliaji kidogo ungejua mimi niko timu gani, hii nchi yanga na simba ni za kufuta kabisa, hakuna mpira bali maneno maneno tu!!leo timu inapigwa faini imepewa muda wa kujitetea ikaamua kukaa kimya!!wakijindanganya labda ndio dawa, kuna timi hapo bali wahuni tu.kiongozi wa timu pinzani anapigwa rungu?!!
Simba hatuna fala kama wewe, tafuta timu nyingine ya kushabikia.
 
20211013175039.jpg

Hata hili la Simba Kukwama kwa usafiri wa kwenda na kurudi Botswana wakulaumiwa ni timu ya Yanga ktk hili
 
Ni sawa!!wale sio wababaishaji wanachokisema wana uhakika nacho, ni mala ngapi msimu wa mwaka jana timu nyingi zilipokuwa zinakuja kucheza na simba zilikuwa zikilalamika juu wa uhuni unaofanyika kwenye vyumba vya kubadirishia nguo?tatizo la nchi hii kuna ushabiki MANDAZI, mimi nikiisema simba naonekana mi ni yanga, na nikiisema yanga vibaya naonekana simba!Ni video ngapi mwaka jana zimeonekana simba wakipulizia dawa kwenye vyumba va wapinzani??achana na ligi ya ndani watu kuamini zaidi ushirikina hadi timu kuruka ukuta wa uwanja, Tff wapo tu, eti timu inalipishwa laki 5!!kata point 3, uone kama kuna uhuni huo tena.
We ndiyo maandazi na umeandika umaandazi wako. Lini Simba ilishashtakiwa kwa hayo. Utopolo mnapiga watu/wageni na vitu vizito kichwani! Halafu mchekewe tu

Angalia hata mechi za ligi juzi ngao ya jamii mnaingiza hadi waganga vyumba vya kubadilishia.Mnaruka ukuta kuingia uwanjani.Timu inapita milango isiyoruhusiwa.

Kule Nigeria tulimwona yule Msukule yuko mpaka kwenye benchi la ufundi.Unajiuliza aliendaje pale?

Sijazungumzia kukimbia mechi.

Hizi tabia Ni sugu kwa utopolo,hata hiyo adhabu Ni ndogo sana.

Utopolo mna akili kweli nyie?
 
Back
Top Bottom