Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Tunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022.
Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani?
Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu nauli zilipanda Mara dufu?leo imeshuka 300 nzima Ila nauli zimebaki vilevile.
Kama lengo la Rais Samia kutoa ile ruzuku ya billions za mihela ilikuwa Ni kupunguza nauli na gharama za maisha zilizopanda kutokana na gharama za mafuta basi bila kuficha HAJAFANIKIWA.
MAMA SAMIA AMEFANYA LATRA WAMEKWAMA😞😞=MAMA SAMIA AMEKWAMA.