Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Unashukuru nn Sasa na wew
Aliyesababisha mpk tumefika Happ Ni huyo unayemshukuru
Mafuta yalipanda kwa 100? Lini na wapi?
Kwa hili Latra kutangaza bei mpya ya nauli ni usumbufu tu, baada ya miazi mitatu mafuta ya tarudi vile vile na kupita, mama hana uwezo wa kulinda bei za mafuta kua chini hiyo ruzuku ya 100bn ni kiduchu sanaa ni kupata tu political goals ila sio economic goalsTunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022.
Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani?!
Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu nauli zilipanda Mara dufu?leo imeshuka 300 nzima Ila nauli zimebaki vilevile.
Kama lengo la Mama Samia kutoa ile ruzukuya billions za mihela ilikuwa Ni kupunguza nauli na gharama za maisha zilizopanda kutokana na gharama za mafuta Basi bila kuficha HAJAFANIKIWA.
MAMA SAMIA AMEFANYA LATRA WAMEKWAMA[emoji20][emoji20]=MAMA SAMIA AMEKWAMA.
Mara nyingi nimekuambia kwa akili uliyonayo usijihusishe kwenye mijadala ambayo inapaswa akili itumikeTunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022.
Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani?
Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu nauli zilipanda Mara dufu?leo imeshuka 300 nzima Ila nauli zimebaki vilevile.
Kama lengo la Rais Samia kutoa ile ruzuku ya billions za mihela ilikuwa Ni kupunguza nauli na gharama za maisha zilizopanda kutokana na gharama za mafuta basi bila kuficha HAJAFANIKIWA.
MAMA SAMIA AMEFANYA LATRA WAMEKWAMA[emoji20][emoji20]=MAMA SAMIA AMEKWAMA.
Unaona ulivyo hauna akili, umeulizwa kulingana na ulichoandika. Lini yalipanda kwa sh 100?Jikite kwenye hoja mkuu,acha kumgeuza nyoka ili uangalie matiti[emoji51]
Hii nchi tunao ielewa ni wachache wengine mtaishia kumbwela mbwela tu๐ ๐ ๐ ๐