NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Nimesikitika sana Kuona baadhi ya media (waandishi Wa habari) wametega maiki wakifanya mahojiano na Hajji Manara akimsifu Mwijaku ana makalio makubwa (astaghafullah) mpaka nilijiuliza waandishi wamekosa vitu vya Msingi katika Taifa hili?!!
Huku Wana Mbeya wanamtafuta Mdude Nyangali kwenye vichaka na polini Kisha kwenda kuhot kwa RCO wapate majibu alipo Mdude Nyangali Lakini hapo hapo kuna Media kubwa kabisa (Mawingu) Ipo Mubashara ikionesha Kajala akimkatikia Mkwe wake (Mario) bila ya aibu mpaka Unajiuliza hii media inaongozwa na watu Wenye Taaaluma kweli?!!!
Mitaa inahitaji Kupata Feedback kuhusu uchunguzi Wa Kifo Cha mzee Kibao, Kupigwa kwa Baba Mtumishi KITIMA namatukio Mengine Lakini kuna Media zinatoa habari za Mwijaku na Poshi queen wakioneshana shepu Kuwa Mwijaku hajamzidi Shepu Poshi kama alivyosema Manara yaani ni Upuuzi Mtupu kabisa.
Huku Peter Kibatala akilia ipatikane haki mahakamani na kuongea kwa uchungu kabisa Lakini kuna baadhi ya media kubwa tu hazitaki kuweka habari kama hiyo zipo busy kurusha taarifa Ya harmonise na Kajala na content za mtoto anayesoma veta darasa la kumi, mpaka Unajiuliza hivi hizi media zinatuona sisi wafatiliaji ni
Una Kaa kwa makini usubiri habari za Bunge la ulaya mala unashituka Media na vyombo vya habari zinaposti picha za msanii kavaa pampas kahudhuria kwenye happy birthday ya mtoto Wa Mario (yaani ni Upuuzi Mtupu) unakuta picha hizo zinatrend Kuliko vitu vya Msingi
Ushauri wangu: Vyombo vya Habari Kuweni serious na Taaaluma yenu na siyo kusambaza habari zisizo na mashiko katika vichwa vya jamiii