Kwa hili,migration mbona wamelala.

nyamatoke

Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
31
Reaction score
3
mkoani Arusha,mashule mengi ya private walimu wanaofundisha pale ni wa kutoka kenya na ukizingatia wanajificha kutokana na kua hawana uraia hali hii inazuia vijana wa tanzania kupata kazi ktk shule hizo,migration naomba mwende huko wakenya na waganda wamejaa,mimi nafahamu shule hizo na hao watu hata kwa majina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…