Kwamba wewe unahofia bond hakuna kati ya mama na mtoto. Hiyo concern ilibidi awe nayo anayeona hana bond na mwanae siyo weweFafanua zaidi bwashee, sijaelewa napaswa hofia nini hapo
Nakuelewa mkuu , hofu yangu sipendi binti yangu akae kidume dume wakati ni MwanamkeKwamba wewe unahofia bond hakuna kati ya mama na mtoto. Hiyo concern ilibidi awe nayo anayeona hana bond na mwanae siyo wewe
Mlima unatakiwa kupandwa siyo kubebwa, wewe unataka kubeba mlima
Shukrani sana mkuuTajiri, uzazi ni uwepo "presence", uzazi sio Biolojia peke yake. Uzazi ni bond, mtoto anahisi uzazi kwa uwepo wake katika maisha yake.
Ndio maana leo utaona watoto wengi waliolelewa na mama zao "Single mothers" ; hawanaga time na "biological" father sababu hawakuona au kuhisi, experience uwepo wao. Wanaona ni watu wa kuja tuu. Kunakuwa hamna ile "bond" kati yao na hii ni nature mkuu.
Kiumbe pekee ambaye, nature inamnyima wazazi kiasili ni Nyoka. Nyoka akitaga mayai, anaondoka yanajiangua yenyewe na yeye anakuwa hayupo thereafter. π
Binti yetu pia angekuwa kwa mama yake, angekuwa anakuona kama kolo tuu. Kama Diamond anavyomuona baba yake. π
Ushauri: Huwezi fanya lolote hapo, wewe endelea kumhusisha mzazi mwenzio katika malezi yake.
Hapana mkuu, mke wa mtu na tuna heshimiana na mbaya zaidi ni mzee wa pombe siwezi fanya hivyo kamwe ila sifikiri kama mama wa mtoto wangu ni mjinga kiasi hichoSasa kwa nini unataka ukaribu mkubwa wa mtoto na mama ambaye kwa sasa ni mke wa mtu tayari?!
Ukaribu wa mtoto na mama ukiongezeka zaidi ina maana na wewe utakuwepo kuwepo karibu, kifuatacho mtajikuta mko uchi tena kwenye shuka mojaπ
Dah hili ni kweli, nahisi single maza na hili wana pitia mimi ni jambo moja , hii imenitisha hata kuw na mke mwingine tena kwa kuhofia binti yangu anaweza teswaHaya mambo yanatiba ya muda tu, muda utatoa majibu wakati sahihi kabisa.
Ukikaa mbali na mtoto, hata kihisia mtoto anakupotezea, watoto wanaweza sana kupotezea hasa walipohisi kutopendwa...mifano ipo mingi, naamini wengi wanayo!
Hiyo siyo kazi yako, ni kazi ya huyo asiye na bond kwa mtoto wakeNiseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.
Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .
Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa π₯² , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa π€
Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake π€.
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.
Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .
Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa π₯² , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa π€
Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake π€.
Ana miaka 6 anaenda kwa mama yake ila akirudi anarudi na chuki mpya , hataki kwenda huko kisa hapewi kipaumbele na yule baba ,binafsi naona asiende tuBinti yako ana miaka mingapi?
Ila kwa ufupi tu, toka akiwa mdogo alipaswa awe anaenda kwa mama muda likizo.
Na hapaswi kabisa kujua kwamba mliachana na mama ake, mpaka pale akue aje adadavue mambo mwenyewe.
Mpende binti yako, mfundishe kila unapopata nafasi, kuwa baba bora, mueleze mazuri yote ya mama yake, huenda akiwa mtu mzima ataweza kupambanua mwenyewe.Dah hili ni kweli, nahisi single maza na hili wana pitia mimi ni jambo moja , hii imenitisha hata kuw na mke mwingine tena kwa kuhofia binti yangu anaweza teswa
Hii naweza kuitolea ufafanuzi kama muhanga...mzee wangu alituchukua mm na mdgo wangu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa mama mwingine....nilikua nina miaka 5 mdg angu alikua na 1.5...nilikuja kumuona mama yangu nikiwa na miaka 7Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.
Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .
Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa π₯² , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa π€
Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake π€.
kuwa na Bond na ww. Hakumzuii yeye kuwa na Bond na Mama ake.Mama yake anashiriki kila kitu hata leo kanitumia rangi ya gauni la mtoto kwa birthday yake mwezi wa tisa, ila kuna bond ya mama nahisi anaikosa, kwenye familia ya mtu kuweka hii bond kwa mtoto ambae yupo na bond na mimi naona ni ngumu sana π€
Binti yangu nipo nae karibu mno, yeye anajisikia vizuri hata akiongea na mimi, kuna mda naogopa hata kuoa tena kwa sababu yake tu , hapendi kushindanishwa dhidi yangu..mimi kuongezea nakushauri na wewe uwe karibu zaidi na binti yako.
..wakati mwingine watoto wanaosoma shule za bweni hupoteza mapenzi kwa wazazi wao.
Vp lakini si bado unapiga..Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.
Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .
Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa π₯² , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa π€
Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake π€.
Mara nyingi kuna faida ya Mama na Baba Kuishi pamoja kuliko kisingizio michache vya kuachana.Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa π₯² , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa π€