Huu uzi nimeandika nimelewa , nilichokisema nikwel kabisa , kuna baadhi ya maoni ambayo nimechukua nakazia na vodka, , kwa huu uzi nitasaidika kwa namna moja ama nyingineSipendi kuuliza sana..
Ni mtu wako wa ujanani.?
Kwanini nauliza hata kama inakera.!
Kwa namna unavyomkumbuka na sisi kuwa shuhuda wakati huu kwa huzuni yako
Ndio uhalili wetu kweli nisingekuuliza kama hukutoa tip
😅😅😅😅😅Umejaribu kumtabulisha binti yako kwa mama mwingine labda anaweza kumpenda
Noma sana,,,mtoto Bado mdogo,akikua mbona atahamishia majeshi Kwa mama.Kwa hii bond ilivo tamu ukiingia hapo 😝
Unaona kama vile umeachwa mpweke fulani hivi
Ni wazo ambalo anaweza kulikubali 😁😅😅😅😅😅
Hata mine me nakujibu kwa vibe sio la kitooHuu uzi nimeandika nimelewa , nilichokisema nikwel kabisa , kuna baadhi ya maoni ambayo nimechukua nakazia na vodka, , kwa huu uzi nitasaidika kwa namna moja ama nyingine
Kuna mambo hayahitaj akili kubwa kuyaelewa na sio mambo ya uvulana wala nnUnashauri kivulana sana
Mangi Kuna kitu anataka kusema hapa
Na umnamzuia.!
Kabisa.Noma sana,,,mtoto Bado mdogo,akikua mbona atahamishia majeshi Kwa mama.
for sure ungekuwa ndugu yangu afu uje kuniomba huo ushaur moja kwa moja ningekupeleka mirembe. Aliyekwambia utoe talaka shingo upande ni nani? Hujamwambia mtoto chochote yeye kaamu kuish maisha yake na unalalamika. Ingekuwa wewe ndio huelewani na mtoto atleast ningekwambia kitu lakin mtu yuko kwake na wewe upo kwako bado unasema bonds ndugu yangu au unajikumbushia kwa aliyekuwa mke wako sasa kakwambia kuwa hatakupa sharti aelewane na mwanae? Somesha huyo mtoto hadi no school ahead acha kumsumbua kwa mambo hataki bro.Nani na nani
Ooh simple panga muda mkutane na mzazi mwenzio popote penye usalama,uende na Binti kama surplus!Utakuja kunishukuru na mwenyezi Mungu!Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.
Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .
Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔
Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Mama wadogo ni finya finya mashavu 😝Ni wazo ambalo anaweza kulikubali 😁
Na ndio lengo lako ila unatafuta uhalali mana mwanamke yupo na mwanaume mwingine sasaBwashee kula sio tatizo
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
ndugu yangu kabisa.Sio sababu ya ww kushindwa kumla
Atarejea Hadi atamshangaa.Kabisa.
Yalinikuta kwa nwanangu wa kuzaa sikumnyonyesha sana alipofika miezi kumi alinyonyeshwa na mwingine nilikuwa nikienda likizo kumsalimia kwa mara ya kwanza alinikataa kabisa alikuwa bado mdogo sana ili anikubali walimtambulisha kwamba mimi ni dada alikubali tu kwamba dada ni mpika uji likizo ikiisha narudi kazini nifupishe nilipoanza kuishi naye hakuwa na mapenzi na mimi kabisa nilichofanys ni kijipendekeza kwake na mara kwa mara kuwa karibu naye kwa sasa ananipenda sana sana japo simfikii aliyemnyonyesha, mwambie mzazi mwenzio ajiweke karibu naye hata kama mtoto haonyeshi mapenzi kwa mama yake, yeye asijali akipata senti amnunulie vizawadi na ampe mwenyewe likizo aende kwa mama japo wiki au siku tatu hutoamini atampenda tu akikosa amshauri asimgombeze itachukua muda mrefu ila yataishaNiseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.
Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .
Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔
Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Akili zake anazo yeye mwenyewe na n mtu mzima so sio wa kuchukua kila ushaurindugu yangu kabisa.
Ni kweli ww ni Waziri mkuu wa kunyanduana.
Kwahiyo hili ndio neno umemshauri Ndugu yetu alifuate.☺☺☺
Hajasema yeye hana Ukaribu na Mama mtoto.Sasa mkuu, wewe mwenye binti hauna ukaribu na mama wa binti...
Unadhani itawezekana vipi binti yako awe karibu na mamaye ilihali siku za maisha yake amekujua wewe kama ndiye uliyemlea?
Hiyo imetoka, hakuna namna ya watu hao wawili kuwa na ukaribu tena...