Unahisia za kisaliti sana.. NisameheYalinikuta kwa nwanangu wa kuzaa sikumnyonyesha sana alipofika miezi kumi alinyonyeshwa na mwingine nilikuwa nikienda likizo kumsalimia kwa mara ya kwanza alinikataa kabisa alikuwa bado mdogo sana ili anikubali walimtambulisha kwamba mimi ni dada alikubali tu kwamba dada ni mpika uji likizo ikiisha narudi kazini nifupishe nilipoanza kuishi naye hakuwa na mapenzi na mimi kabisa nilichofanys ni kijipendekeza kwake na mara kwa mara kuwa karibu naye kwa sasa ananipenda sana sana japo simfikii aliyemnyonyesha, mwambie mzazi mwenzio ajiweke karibu naye hata kama mtoto haonyeshi mapenzi kwa mama yake, yeye asijali akipata senti amnunulie vizawadi na ampe mwenyewe likizo aende kwa mama japo wiki au siku tatu hutoamini atampenda tu akikosa amshauri asimgombeze itachukua muda mrefu ila yataisha
Sema ukiingia katikati ya Hawa wapendanaoAtarejea Hadi atamshangaa.
Hama kwenu na wewe nenda kajitemeeBinti yupo shule ya "kulala"? Okay.Binti hana mapenzi na mamaye yawezekana sababu ni umbali/kutokuishi pamoja,mazoea au dokezo hasi kuhusu huyo mama kutoka kwa mtu mwingine.Unahitaji kumpanga kwa akili nyingi ili uwaunganishe wapatane.Au,tumia wataalamu wa saikolojia wamuweke relini.
ANGALIZO;Usilazimishe upendo umuingie mtoto kama roho mtakatifu na vilevile chunga usiharibu ndoa ya mzazi mwenzio kwa kung'ang'aniza upendo kwa binti yenu.
hii yako ni tofauti na ya huyu mtu tena mbali sana na kwanza yako sio kesi hata kidogo ni majukumu yalikufanya ukapitia hiyo hali. Lakn ya huyu bwana huruma hafai.Yalinikuta kwa nwanangu wa kuzaa sikumnyonyesha sana alipofika miezi kumi alinyonyeshwa na mwingine nilikuwa nikienda likizo kumsalimia kwa mara ya kwanza alinikataa kabisa alikuwa bado mdogo sana ili anikubali walimtambulisha kwamba mimi ni dada alikubali tu kwamba dada ni mpika uji likizo ikiisha narudi kazini nifupishe nilipoanza kuishi naye hakuwa na mapenzi na mimi kabisa nilichofanys ni kijipendekeza kwake na mara kwa mara kuwa karibu naye kwa sasa ananipenda sana sana japo simfikii aliyemnyonyesha, mwambie mzazi mwenzio ajiweke karibu naye hata kama mtoto haonyeshi mapenzi kwa mama yake, yeye asijali akipata senti amnunulie vizawadi na ampe mwenyewe likizo aende kwa mama japo wiki au siku tatu hutoamini atampenda tu akikosa amshauri asimgombeze itachukua muda mrefu ila yataisha
Mpe muda awe anaenda kukaa kwa mama yake mara kwa maraNiseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo timiza miaka miwili baada ya kuvutana na mama yake mno.
Ila mama yake alipo pata mtu mwingine wa kumuoa ndoa kabisa, baada ya mimi kupeana nae talaka , ikawa rahisi sana kunipa binti yangu .
Nilimlea binafsi , alipo kua alienda kwa bibi yake na sasa yupo shule ya kulala anaendelea vyema.
Shida inakuja , baada ya binti ya kuwa mkubwa kiasi , naona kama hana bond na mama yake , wala hana hisia nae kabisa 🥲 , sikupenda hii hali ijitokeze kabisa , yani hata ukimwambia wewe unafanana na mama yako vitu fulani analia kabisa 🤔
Wakionana hauwezi fikiri ni mtu na mtoto wake , hii hali siipendi kwa sababu sijawahi kumsaigia kunguni mama watoto wangu kwa mwanae kabisa , tunaelewana kama wazazi na hata yeye ana shiriki matunzo ya mwenetu.
Hii hali imekaaje wadau , na nina weza fanya vipi nikaweka ukaribu wa binti yangu na mama yake 🤔.
Mbona mimi naishi msituni tangu zamani nikiwa na miaka minne?Hama kwenu na wewe nenda kajitemee
Kazi kula ugali wa mama tu
Mkuu haujui how deeper that issue is...Bwashee kunywa Bia,
Acha nature itaamua yenyewe.
Kwa hiyo kumbe wale watoto 6 walikuwa ni wa kuchemsha?Wazazi inaonekana kuna maisha mnayapata yana raha yake ya kupasha viporo ambapo sisi ambao hatuna wazazi wenza tunayakosa.
Mama yangu akiwa anaongea na mzee kwenye simu huwa anamwambia "Mpenzi wangu wa zamani.."
akae tumboni miezi 9, anyonye miaka miwili, kisha akose bond kwa mama yake! Hili ni tatizo!Shida ya binti ni mbishi na ukizingatia mama yake ana watoto wengine wawili wa kike , hapa naona kama hataki kuelewa
bond ya mtoto kwa mama ni natural. huwa sio ya kutengenezwa, ila hapo kwako there is something big wrong!Mama yake anashiriki kila kitu hata leo kanitumia rangi ya gauni la mtoto kwa birthday yake mwezi wa tisa, ila kuna bond ya mama nahisi anaikosa, kwenye familia ya mtu kuweka hii bond kwa mtoto ambae yupo na bond na mimi naona ni ngumu sana 🤔
Una maana gani hapa, kama nimekuelewa unachofikiria tafadhari acha hayo mawazo, I’m sure 99.9% ya wanaume hawako hivyoKuna kiporo kitapashwa soon😁
Kukumbushia ipo kisheriaMimi huo ufala sifanyi kamwe bwashee usinione tu mlevi, na hekima zangu😅
Ukiwa na watoto lazima uwe Single maza?Kwa hiyo kumbe wale watoto 6 walikuwa ni wa kuchemsha?
Anastahili kupewa umuhimu.Yeah mimi , nahusika mno, kuna mda niliwaza labda nilimpa umuhimu mno 🤔