Kwa hili naomba mniunge mkono ndugu zangu

Kwa hili naomba mniunge mkono ndugu zangu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Jana ilikuwa nikamle msichana mmoja ambaye nimemfuatilia muda mrefu sana. Basi tukapanga kila kitu na kukubaliana kuonana lodge moja hivi kijitonyama. Imefika mida nikatoka mapema job saa 7 nikale mzigo.

Njiani nikawaza, bajeti ilikuwaTsh. 100,000 room 50,000 matumizi 50,000. Nikiwa njiani nikawaza sana. Basi akili ikanituma kuingia stand makumbusho.nikapark gari ile bar barabarani.

Nikatafuta wakala wa mitandao ya simu nikaweka pesa kwenye simu nikamtumia mother 100,000. Alishukuru sana nikajisikia amani nikaamua nirudi home yule girl nikamwambia nimepata dharura alisikitika sana. Sasa yeye ndo ananitafuta kinyama nikamgegede. Leo tu katoka kuulizia kama nipo fresh nikamle, nimemkwepa.

Naombeni kwa sasa unapofikiria kwenda kumla demu haraka mfikirie mama yako utagundua hiyo pesa inamfaa yeye zaidi kuliko huyo mwewe.

Najua wadada uzi huu utawakwaza sana na mtaona kama nawaharibia.ila fikirien nanyi ikishakuwa jioni halafu watoto wenu wawe wanahonga tu nyie mna pauka.mtajisikiaje?miaka hiyo jioni/umri umeenda unategemea mwanao akupige tafu. Ila naye anahonga tu kama wewe unavyohongwa.

USILOPENDA KUTENDEWA USIWAFANYE WENZIO WATENDE KWA WENGINE.

NAOMBENI VIJANA MNIUNGE MKONO.MUUNGE JUHUDI TUWAKUMBUKE MAMA ZETU
 
Hoja yako nzuri lakini swali linabakia pale pale. Ukitaka kugegeda utafanyeje? Ili kupunguza matumizi si ungenunua vitu ukamwambia aje home mpike mle halafu mgegedane? Au home hapaingiliki? [emoji16][emoji16][emoji16]

Kupika pamoja kunaweza kuwa romantic sana na kunakupa nafasi ya kumfahamu binti vizuri. Labda kama lengo lako lilikuwa ni kupiga tu na kwenda zako....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Wazo zuri, hoja naishika kwa mkono yote[emoji3577][emoji1666] na mie nitafanya hii, nahis ntabarikiwa zaidi
 
Tena tukifanya hivi tutawanyoosha hata haya malalamiko ya vizinga yatakoma. Wewe umechelewa hata hivyo, wenzako tulishaanza siku mingi sana. Sema katabia hako kanahitaji uvumilivu,ipo siku utapiga punyeto tu.
 
Umefanya jambo la maana kumtumia mama pesa, ila kumbuka mwili nao una mahitaji yake.

Kumtumia mama hela huku nyege bado zinakutesa bdo hujautendea haki mwili wako.
weka fungu kwa ajili ya mama na fungu la pili liwe kwa ajili ya kuhudumia kidudu.

Tuma hela utumavyo kwa mama, ila usipochakata, kidudu kitaendelea tu kukusumbua, hapo ndo utajua kwanini kazini unaenda na viatu na bafuni unaenda na ndala.
 
Nao walikua hivyo walipokua vijana ndo maana wamezeeka hawana kitu
What goes around comes around
 
Haupo siriazi na nyege mkuu
 
Ume fanya kutushawishi ki emotion tu kupitia mama.ila swala liko pale pale uja gegeda

SUBIRI KIDOGO
 
Back
Top Bottom