Jana ilikuwa nikamle msichana mmoja ambaye nimemfuatilia muda mrefu sana. Basi tukapanga kila kitu na kukubaliana kuonana lodge moja hivi kijitonyama. Imefika mida nikatoka mapema job saa 7 nikale mzigo.
Njiani nikawaza, bajeti ilikuwaTsh. 100,000 room 50,000 matumizi 50,000. Nikiwa njiani nikawaza sana. Basi akili ikanituma kuingia stand makumbusho.nikapark gari ile bar barabarani.
Nikatafuta wakala wa mitandao ya simu nikaweka pesa kwenye simu nikamtumia mother 100,000. Alishukuru sana nikajisikia amani nikaamua nirudi home yule girl nikamwambia nimepata dharura alisikitika sana. Sasa yeye ndo ananitafuta kinyama nikamgegede. Leo tu katoka kuulizia kama nipo fresh nikamle, nimemkwepa.
Naombeni kwa sasa unapofikiria kwenda kumla demu haraka mfikirie mama yako utagundua hiyo pesa inamfaa yeye zaidi kuliko huyo mwewe.
Najua wadada uzi huu utawakwaza sana na mtaona kama nawaharibia.ila fikirien nanyi ikishakuwa jioni halafu watoto wenu wawe wanahonga tu nyie mna pauka.mtajisikiaje?miaka hiyo jioni/umri umeenda unategemea mwanao akupige tafu. Ila naye anahonga tu kama wewe unavyohongwa.
USILOPENDA KUTENDEWA USIWAFANYE WENZIO WATENDE KWA WENGINE.
NAOMBENI VIJANA MNIUNGE MKONO.MUUNGE JUHUDI TUWAKUMBUKE MAMA ZETU