check sehemu ya kuchajia au earphone port. Utaona herufi zinaondoka moja moja.
Alternatively.
Translation ya hizo data ipo katika mfumo wa I0I0I0I0. Unapofuta, sio kwamba inaondoka milele, ndo maana unaweza ku-recover lost data hata kama simu imeflashiwa.
Kama ni msg uliyotuma au kuingia, itakuwa kwenye server kwa muda kadhaa kulingana na sheria za nchi, ambayo nadhan ni 3 years. Operators watakuwa nayo kwa ajili ya usalama wa 'taifa'.
Mfano wa internet ni kama google cache. Picha ya facebook ambayo mtu ameshafunga account bado itakuwepo kwa muda flani kwenye mtandao.
Ila mkuu swali lako ni too technical, lingekuwa kwenye technology.