Mlumendo obeid
Member
- Sep 22, 2011
- 33
- 2
Jamani wana JF poleni kwa kazi ya kutafuta DINARI, Nipo janvini kuomba kusaidiwa swala hili hivi ukifuta text kwenye simu inaenda wapi? Naomba maelezo ya kina! Asanteni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umeshawahi kujiuliza vilevile inakuwaje unaenda dukani kununua 'hela',hiyo hela unaiweka kwenye simu,kadri unavyoongea ndipo hela yako inavyopungua kwenye simu..
Ile hela inaenda wapi wakati uliingiza kwenye simu?
kitendoo cha kutumia anga kwa maana ya masafa ya netwk yanagarama tena kwa sekunde
Unaifuta juu ya simu lakini inabaki ndani ya simu!So ukifuta kwenye simu inaenda wap?