Kwa hili: Nawapongeza mashabiki wa simba na walinzi wa uwanja wa Taifa kwa ubaya ubwela waliowafanyia waarabu leo

Nimesikitika sana pamoja na ushindi wa mezani na mashabiki wa simba kung'oa viti kwenye kombe la single mothers ila bado simba iko nafasi ya tatu, Bravo kidedea tena, kiufundi siioni kolowizard ikitoboa kwenye hili kundi!!
Hizo takwimu zenu na azam yenu sisi hazitushtui....naona azam ana zake na caf wana zao...
Poleni masingo masa wastaafu...
 
Refa kazingua kinoma,alitakiwa atandikwe sana,haiwezekani zimeongezwa dakika 7,akaacha hadi dakika ya 9 na masekunde ili goli Lilongwe.Kazingua sana.
Tatzo la kushabikia mpira ukubwan kisa bwana ako anapenda mpira na wew unafata mkumbo
 
Mechi za Bravo baada ya dk za nyongeza kuisha zilikuja kuongezwa 3 kwenye zile za nyongeza,hata kwenye livescore mechi za ulaya unakuta dk zimeongezwa 5 unashangaa zimefika hadi 10
Marefa wa uingereza hasa hasa huwa wanatabia ya kuongeza dakika zao
 
Nimesikitika sana pamoja na ushindi wa mezani na mashabiki wa simba kung'oa viti kwenye kombe la single mothers ila bado simba iko nafasi ya tatu, Bravo kidedea tena, kiufundi siioni kolowizard ikitoboa kwenye hili kundi!!
Haya mtatoboa nyie uto. Maana ukiligeuza juu chini kundi lenu mnakuwa wa kwanza.
 
Refa kazingua kinoma,alitakiwa atandikwe sana,haiwezekani zimeongezwa dakika 7,akaacha hadi dakika ya 9 na masekunde ili goli Lilongwe.Kazingua sana.
Zimeongezwa dakika halafu wakawa wanacheza Simba peke yao?
 
Nimesikitika sana pamoja na ushindi wa mezani na mashabiki wa simba kung'oa viti kwenye kombe la single mothers ila bado simba iko nafasi ya tatu, Bravo kidedea tena, kiufundi siioni kolowizard ikitoboa kwenye hili kundi!!
Mbwa kweli wewe. Utatoboa wewe mwenye pointi 1...kafirwe huko.
 
Kimsingi ni kweli ushabiki wenu vijana wa kisasa unaboa kwani wengi wanajitoa ufahamu hata kwa vitu vya wazi kabisa.

Mechi tumangalia wote Azam TV na hakuna sehemu mashabiki wa Simba walianza kutoa viti ila matusi sio mazuri. Usimtukane mwenzako naa jitahidini kuchukuliana mkuu.
 
Refa kazingua kinoma,alitakiwa atandikwe sana,haiwezekani zimeongezwa dakika 7,akaacha hadi dakika ya 9 na masekunde ili goli Lilongwe.Kazingua sana.
De utopolo gongowazi, uliangalia mechi ya Bravos vs Costantine?
 
Walioumia kwa goli la jioni wajinyonge
Ni kweli mlihusika kung'oa viti kama baadhi ya wajumbe walivyochangia mawazo yao hapo juu? Maana hamna historia nzuri na huo uwanja wa Taifa. Mlishawahi kufanya hilo tukio hapo kabla. Binafsi sikuangalia hiyo mechi yenu!
 
Nimesikitika sana pamoja na ushindi wa mezani na mashabiki wa simba kung'oa viti kwenye kombe la single mothers ila bado simba iko nafasi ya tatu, Bravo kidedea tena, kiufundi siioni kolowizard ikitoboa kwenye hili kundi!!
Nenda kapime choo usovu tatizo lako🐸wahed
 
Refa kazingua kinoma,alitakiwa atandikwe sana,haiwezekani zimeongezwa dakika 7,akaacha hadi dakika ya 9 na masekunde ili goli Lilongwe.Kazingua sana.
hizo dakika alikuwa anacheza simba A na B au, je angefungwa simba kwenye hizo dakika wangempiga refa na kungoa viti
 
Kumbe sheria za dakika za nyongeza zinakanuni zake, ukipoteza muda refa ana simamisha saa yake, kwasasa ukipoteza muda inakula kwako
 
Nimesikitika sana pamoja na ushindi wa mezani na mashabiki wa simba kung'oa viti kwenye kombe la single mothers ila bado simba iko nafasi ya tatu, Bravo kidedea tena, kiufundi siioni kolowizard ikitoboa kwenye hili kundi!!
Ila vyura watatoboa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…