Kwa hili ndugu yetu kafariki tunafichwa ama ndo utaratibu

Truly

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
228
Reaction score
32
Wana JF heshima mbele
Kuna tatizo linanikosesha usingizi kwani nina wasiwasi.
Leo hii kuna ndugu yetu kakimbizwa muhimbili. Tatizo lake mimba imetungwa nje ya kizazi. Kwa maelezo ya ndugu wengine alikuwa hoi na alikuwa hana fahamu. Sasa alipelekwa theater saa sita mchana ndugu walio karibu wakawa wanasubiri. Lakini ilipotimia saa kumi wakaambiwa waondoke mgonjwa atarudishwa wodini saa nane usiku na anatakiwa awe peke yake asisemeshwe. Najiuliza hiyo operation itachukuwa masaa yote hayo jamani ama ndo tunafichwa. Am worried nakosa usingizi asubuhi napaona mbali. Mungu tusaidie tunamweka ndugu yetu mikononi mwako
 
Mtumaini Mungu kwa moyo wako wote na kwa akili zako zote.
Niite nami nitaitika nami nitakuonyesha mambo makubwa tena magumu usiyoyajua
 
Mkuu Truly, ...Pole, tatizo la mimba kutungwa nje ya tumbo/mfuko wa uzazi ni mojawapo ya Medical emergencies,(hasa pale inapopasuka) kutokana na kushindwa kukua vizuri.

Kujibu swali lako, mgonjwa wa tatizo hili mara nyingi hupungukiwa damu(kutoka damu,) na huwa katika maumivu makali, n k hivyo basi huweza kupelekwa chumba cha upasuaji moja kwa moja, lakini ukweli ni kwamba si kuwa akifika tu atafanyiwa upasuaji, kuna vitu kadhaa lazima vifanyike(To stabilize the patient), na wakati mwingine inaweza kuwa ngumu kuelewa kuwa upasuaji umefanyika muda mrefu kwani hata huko chumba cha upasuaji(OT/OR) bado huwa na sehemu ya kusubiri wagonjwa kabla ya upasuaji wenyewe(yaani kuna wagonjwa wengine(walio katika critical-Emergency/Urgency) wakisubiri upasuaji), na ukizingatia mgonjwa alipelekwa usiku, daktari wa zamu kuwa_attend wote at a go, ni ngumu.

Ushauri:
Muamini daktari, kama ulimuamini kwa uhai wa mgobjwa sioni sababu ya kutomuamini katika kauli yake.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu rudi tena utwambie hali ya mgonjwa wetu inaendeleaje.
 
Asante kwa maelezo mazuri. Ila alipelekwa saa sita mchana sio usiku. Ntakuja kueleza mambo yamekuwaje sasa hivi niko njiani kuja dsm from morogoro. Mungu atusaidie.
 
Last edited by a moderator:
God is good all the time. All the time God is good. Mgonjwa wetu anaendelea vizuri. Anatakiwa damu.
 
Usiwe na wasiwasi wakati mwingine mgonjwa anahitaji kupumzika hata hivyo, hospitali zina taratibu zake hivyo usiwe na wasiwasi sana, atakuwa salama kama wao wamewaambia hivyo.
Na kama kungekuwa na kitu cha nyie kuwa na wasiwasi juu yake basi mngeambiwa..
 
We usually take abnormal things normal kwa sababu ya abnormalities tunazokutana nazo kila siku. Lakini suala la mama mja mzito ni ishu nyingine, sijui kwa nini. Mimi huwa nasema mtu anaumwa mimba maana lolote linaweza tokea. Huwa nashangaa hata wanaume wanaoambukiza wake zao mimba hovyo hovyo! Mungu waongeze nguvu wanawake walio katika kipindi cha uzazi.
 
Mtumaini Mungu kwa moyo wako wote na kwa akili zako zote.
Niite nami nitaitika nami nitakuonyesha mambo makubwa tena magumu usiyoyajua

Niite nami nitaitika nami nitakuonyesha mambo makubwa tena magumu usiyoyajua (source??)
 
God is good all the time. All the time God is good. Mgonjwa wetu anaendelea vizuri. Anatakiwa damu.

Kichwa cha habari ulianza kukata tamaa kusema 'kafariki' heri ubadili kichwa cha habari na umtukuze Mungu aliye juu
 
We usually take abnormal things normal kwa sababu ya abnormalities tunazokutana nazo kila siku. Lakini suala la mama mja mzito ni ishu nyingine, sijui kwa nini. Mimi huwa nasema mtu anaumwa mimba maana lolote linaweza tokea. Huwa nashangaa hata wanaume wanaoambukiza wake zao mimba hovyo hovyo! Mungu waongeze nguvu wanawake walio katika kipindi cha uzazi.

Amina Nyalotsi asante
 
Amina Nyalotsi asante

huwa nikiwaangalia wanawake wajawazito huwa nawaombea kwa Mungu kwa siri. Hata kama wana furaha mi huwa nafikiria kwamba hili ni bomu ambalo muda wowote likichacha linamlipukia. Serious you are carrying bombs in your uterus bila kujua. These days pregnancy limekuwa tatizo ambalo muda wowote unaondoka. Ni bora kumanage mgonjwa wa ukimwi kuliko mimba yenye matatizo.
 
Mungu anasaidia
 
Back
Top Bottom