Wana JF heshima mbele
Kuna tatizo linanikosesha usingizi kwani nina wasiwasi.
Leo hii kuna ndugu yetu kakimbizwa muhimbili. Tatizo lake mimba imetungwa nje ya kizazi. Kwa maelezo ya ndugu wengine alikuwa hoi na alikuwa hana fahamu. Sasa alipelekwa theater saa sita mchana ndugu walio karibu wakawa wanasubiri. Lakini ilipotimia saa kumi wakaambiwa waondoke mgonjwa atarudishwa wodini saa nane usiku na anatakiwa awe peke yake asisemeshwe. Najiuliza hiyo operation itachukuwa masaa yote hayo jamani ama ndo tunafichwa. Am worried nakosa usingizi asubuhi napaona mbali. Mungu tusaidie tunamweka ndugu yetu mikononi mwako