Kwa hili nililoliona kazini kwetu kuna dalili watumishi wenye sifa sawia walioajiriwa pamoja wengine kupanda madaraja wengine watabaki kama walivyo

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani.

Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja.

Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza.

Mtu mumeajiriwa pamoja anakukodolea mimacho unapoijaza mpaka unamuonea huruma.
Daaahh hili zoezi linaweza kujaa rushwa, ukabila na kujuana.

Mungu tusaidie
 
Reactions: ffn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…