πΆπΆπΆHayaa hayo ndo madhara ya kunyetuka. Unawaza jeep. Mercedes Benz wakati unatembelea tz eleven ππ
Weh. Shika adabu yako. Hujui kwamba MBONDOLE lina maana mbaya sana kwa kingoni? Kingoni Mbondole ni style ya chuma mboga.mkuu siku ingine pita chamazi mbande elekea mbondole mpaka chanika unarudi na njia ya gongolamboto
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaishi kwa shemeji yake huko Buza.Wee jamaa jinga kabisa! Kwani wewe kwenu wapi? Isije ikawa ni mkimbizi!
MBAGALA NI ENEO AMBALO ANATOKEA MCHEZAJI MBWANA SAMATA MCHEZAJI WA KWANZA KUCHEZA LIGI BORA DUNIANI EPL KUTOKA TANZANIA ,ANGALIA KIJANA
Msaada kipati hapoKiduku Lilo,
POLESANA MKUU
HIO BARABARA IMEJENGWA SANA WANAOJENGA WENGI N WAPIGA DILI
NIMESOMA ST NTHONY MIAK YA 93 KWA PADWA ..SIJAJUA KILEKITUO BADO KIPO
MKUU KULIKUWANA LAMI UNAOMBA MUNGU LINI WANALETA MATUTA MPAKA KULE JUU SHULENI ILIANZIA KWA AZIZ ALLY..
BAADAE IKARUDIEA TENA SIJAJUA KILICHOENDELEA ILA KAMA IMEARIBIKA TENA KIFWATACHO N UJENZI WA MWENDOKASI(SIRIYAKO PLS) USIONGEE KWANGUVU...HUKO LAMI ATITAKI TENA ZA KWAIDA TUNAWALETEA MWENDMWENDO.....ZILE DCM ZENU MKAWEKEE KUKU WA KIENYEJI NA WAKITHUNGU
Hahahhahahahah hapo sawaaSure. Nlikuwa nawafundisha wazungu kucheza nikawa nawaambia hii style inaitwa kiduku. Nikawa nacheza funk na kuchanganya na kiduku ndo nikawaambia a little kiduku na funk.wakawa wanaita lilo kiduku.mimi nikageuza na kujiita kiduku lilo.
Sababu napenda sana kiswahili.kama bongo zozo.unajua sisi tuliokaa sana nje hatubabaiki na ukoloni wa majina.
Kwa kweli Dar ni kubwa. I came to Dar in 1981 January lakini kwa mara ya kwanza nimefika MWANAGATI last week. Huko Mwanagati sikuona bar hata moja. Bar nimekuja kuziona Haliyahewa au Banana lkn hazijachangamka kama za huku kwetu. Niliagiza beer moja castle lite na mhudumu nikamwambia na yeye achukue kinywaji anachotaka kwa hela yangu. Wakati naondoka aliniuliza. Mbona sijamuomba namba ya simu? Huku pia nimeona magari ya KISEMVULE . Hili jina kisemvule limekaa kama tusi baya baya
Hahahaha tupo wengi mkuu...ilinibidi nirudi juu kuangalia nani mleta uzi baada ya kuona kiduku...ikabidi niendelee kuusoma uzi...mana huwa napataga imagination fulani hv ya uyu kajamaa
AsanteeeeeeeπππππMkuu. Nlikuwa na International meetings nchi mbalimbali duniani.nlikuwa busy sana.now nmerudi.kwa week chache.
Mdogo wangu utakuja niua mnabu zimauma sana dah!Ooohh...hivi ni mbagala au mbagra? Mi hilo jina linanitatiza. Kule watu wana maisha magumu sana. Wanakula mara tatu tu kwa siku.nmeshangaa jamaa alikuwa ananielezea.