Kwa hili nililoliona leo, naomba niilaumu Serikali kidogo. Nimehuzunika sana

Kwa hili nililoliona leo, naomba niilaumu Serikali kidogo. Nimehuzunika sana

Kwa kweli Dar ni kubwa. I came to Dar in 1981 January lakini kwa mara ya kwanza nimefika MWANAGATI last week. Huko Mwanagati sikuona bar hata moja. Bar nimekuja kuziona Haliyahewa au Banana lkn hazijachangamka kama za huku kwetu. Niliagiza beer moja castle lite na mhudumu nikamwambia na yeye achukue kinywaji anachotaka kwa hela yangu. Wakati naondoka aliniuliza. Mbona sijamuomba namba ya simu? Huku pia nimeona magari ya KISEMVULE . Hili jina kisemvule limekaa kama tusi baya baya
 
Ooohh...hivi ni mbagala au mbagra? Mi hilo jina linanitatiza. Kule watu wana maisha magumu sana. Wanakula mara tatu tu kwa siku.nmeshangaa jamaa alikuwa ananielezea.

MBAGALA NI ENEO AMBALO ANATOKEA MCHEZAJI MBWANA SAMATA MCHEZAJI WA KWANZA KUCHEZA LIGI BORA DUNIANI EPL KUTOKA TANZANIA ,ANGALIA KIJANA
 
Kiduku Lilo,
POLESANA MKUU
HIO BARABARA IMEJENGWA SANA WANAOJENGA WENGI N WAPIGA DILI

NIMESOMA ST NTHONY MIAK YA 93 KWA PADWA ..SIJAJUA KILEKITUO BADO KIPO
MKUU KULIKUWANA LAMI UNAOMBA MUNGU LINI WANALETA MATUTA MPAKA KULE JUU SHULENI ILIANZIA KWA AZIZ ALLY..
BAADAE IKARUDIEA TENA SIJAJUA KILICHOENDELEA ILA KAMA IMEARIBIKA TENA KIFWATACHO N UJENZI WA MWENDOKASI(SIRIYAKO PLS) USIONGEE KWANGUVU...HUKO LAMI ATITAKI TENA ZA KWAIDA TUNAWALETEA MWENDMWENDO.....ZILE DCM ZENU MKAWEKEE KUKU WA KIENYEJI NA WAKITHUNGU
Msaada kipati hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure. Nlikuwa nawafundisha wazungu kucheza nikawa nawaambia hii style inaitwa kiduku. Nikawa nacheza funk na kuchanganya na kiduku ndo nikawaambia a little kiduku na funk.wakawa wanaita lilo kiduku.mimi nikageuza na kujiita kiduku lilo.

Sababu napenda sana kiswahili.kama bongo zozo.unajua sisi tuliokaa sana nje hatubabaiki na ukoloni wa majina.
Hahahhahahahah hapo sawaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbagra wanaingilia madirishani kea daladala
 
Ukisikia nje ya mji ndo huko
Ni maeneo tulivu kabisa hayo .
Kwa kweli Dar ni kubwa. I came to Dar in 1981 January lakini kwa mara ya kwanza nimefika MWANAGATI last week. Huko Mwanagati sikuona bar hata moja. Bar nimekuja kuziona Haliyahewa au Banana lkn hazijachangamka kama za huku kwetu. Niliagiza beer moja castle lite na mhudumu nikamwambia na yeye achukue kinywaji anachotaka kwa hela yangu. Wakati naondoka aliniuliza. Mbona sijamuomba namba ya simu? Huku pia nimeona magari ya KISEMVULE . Hili jina kisemvule limekaa kama tusi baya baya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooohh...hivi ni mbagala au mbagra? Mi hilo jina linanitatiza. Kule watu wana maisha magumu sana. Wanakula mara tatu tu kwa siku.nmeshangaa jamaa alikuwa ananielezea.
Mdogo wangu utakuja niua mnabu zimauma sana dah!
 
Back
Top Bottom