if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
Nilimwazima milioni moja mwaka wa tatu huu hata hajanidai,big up boss kidu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa ni genius sana, kongole kwako kiduku lilo. Wakuu huyu jamaa si wa kumchukulia serious sana hii ni aina yake ya kufikisha ujumbe fulani kwa jamii.kiufupi mi nakubali sana nyuzi zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mpaka Mimi na mzidi na Sina loloteKibaya zaidi kule Twitter umeshindwa kupata attention, akili ndogo hizi
Sent using Jamii Forums mobile app