Kwa hili nililoliona leo, naomba niilaumu Serikali kidogo. Nimehuzunika sana

Kwa hili nililoliona leo, naomba niilaumu Serikali kidogo. Nimehuzunika sana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kiduku lilo bwana ngoja waje wakazi wa mbagala
 
kidukulilo ni mzee wa chai sana, hivi ni barabara ipi tanzania unayoweza kuendesha gari ambazo zipo chini kama unavyotaka kutuaminisha hapa!? hata mitaa ya ikulu kule kuna matuta kama ya kulima vingamba, yaani tanzania haina barabara ambayo unaweza endesha gari yenye clearance ndogo kama hiyo unayosema. Hizi story endelea kusimulia watoto unaowafundisha huko mtaani kwenu.
 
Nina uhakika mleta mada huna hata baiskeli, huna hata kibanda cha makuti, unaishi kwa shemeji maeneo fulani hivi ya uswahili ambapo shemeji amepangisha vyumba viwili kwenye pagala fulani.
 
Back
Top Bottom