Kwa hili nililoliona leo, naomba niilaumu Serikali kidogo. Nimehuzunika sana

Kwa hili nililoliona leo, naomba niilaumu Serikali kidogo. Nimehuzunika sana

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Nmehuzunika sikuwa najua kumbe DSM ni kubwa sana. Kuna watu wanakaaa mbali. Leo nmefika mpaka Mbagala.

Unajua maeneo ambayo mi nayafahamu ni toka posta barabara mpaka Bagamoyo. Na pia niliwahi tembezwa maeneo ya kipato cha chini kama Sinza,Mwenge,Kijitonyama,Kinondoi,Magomeni n.k

Hii barabara ya Nyerere huwa nikipita tu kwenda Airport. Leo nmepelekwa Mbagra ni mbali sana na Jiji na kuna watu wengi. Ila kama bahati nlikuwa naendesha JEEP so afadhali sijaikwaruza chini.ingekuwa ile Merc Benz na ilivyo chini.sijui.

Kilichonifanya nifikirie kuilamu Serikali nmeshangaa hiyo barabara ya kwenda Mbagra mbona hawajai rekebisha miaka yote toka kipindi cha uhuru?inaonekana ni ya zamani za mkoloni.iliwekwa lami lakini inaonekana lami yake imechoka na kutengeneza matuta matuta.

Kwa hizi gari zetu sisi za speed ndege za chini chini ni ngumu kutumia barabara hii.nikawa nawaza je serikali haioni kuwa ime walimit wakazi wa huko kutonunua gari classic za kinadhifu za chini?

Nmemuuliza jamaa yangu anayejenga huko kwa nini ameenda kujenga nje ya jiji?mbona kuna viwanja vingi tu maeneo hata ya mbezi beach kwa milion 100-300 angepata kiwanja kizuri? Hata Masaki kuna watu unaweza wahamisha ukajenga nyumba sehemu nzuri.

Nikiangalia huko mbagra roho inanisuta kuna watu wanatoka mbali jamani.nawaza kwa kutumia huu usafiri wao je hawachoki?

Na nauli maeneo hayo itakuwa tsh ngapi kwa pub trans? Unaweza kuta tsh 10,000 kwenda na kurudi kwa daladala.

Serikali mkiona barabara imekuwa kongwe mnabomoa mnajenga mpya.nimemshauri jamaa auze hicho kiwanja aje anunue apartment oysterbay.anadai eti ghali.nikamwambia basi akaishi hata mwenge,sinza na kijitonyama au mbezi beach.

Ananambia huko mbagra watu wanaishi kwa milo mitatu tu kwa siku.nikashangaa sana.kweli ni eneo la kipato cha chini sana.ila nmegundua DSM ni kubwa.inabidi kutembea siku nataka nijaze full tank nimalize nitembee DSM nifike mpaka mabibo au tandale.nione huko kupoje.

Nmehuzunika kuwa kuna watanzania wenzangu wanaishi maisha magumu mnoa na miundo mbinu si rafiki kabisa.kama huko Mbagra.ni mbali sana.
 
Kiduku Lilo,

sikujua nani kaandika kumbe kiduku 🤣🤣🤣
heti kipato cha chini Sinza,Mwenge,Kijitonyama,Kinondoi,Magomeni n.k


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Threads zako huwa zinanitamanisha nikuone siku moja hata kwa bahati mbaya🤗
 
Kiduku Lilo,
POLESANA MKUU
HIO BARABARA IMEJENGWA SANA WANAOJENGA WENGI N WAPIGA DILI

NIMESOMA ST NTHONY MIAK YA 93 KWA PADWA ..SIJAJUA KILEKITUO BADO KIPO
MKUU KULIKUWANA LAMI UNAOMBA MUNGU LINI WANALETA MATUTA MPAKA KULE JUU SHULENI ILIANZIA KWA AZIZ ALLY..
BAADAE IKARUDIEA TENA SIJAJUA KILICHOENDELEA ILA KAMA IMEARIBIKA TENA KIFWATACHO N UJENZI WA MWENDOKASI(SIRIYAKO PLS) USIONGEE KWANGUVU...HUKO LAMI ATITAKI TENA ZA KWAIDA TUNAWALETEA MWENDMWENDO.....ZILE DCM ZENU MKAWEKEE KUKU WA KIENYEJI NA WAKITHUNGU
 
Back
Top Bottom