Kwa hili nimeshindwa kuwaelewa necta

Kwa hili nimeshindwa kuwaelewa necta

Milestone

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
376
Reaction score
409
katika matokeo ya awali ya kidatocha nne kulikuwa na div 1 za single digit 3 nazo zilikuwa ni za point 9 ambazo 2 zilitoka Feza boys na 1 ilitoka Don Bosco seminary ! ila cha kushangaza ni kwamba katika matokeo haya mapya zile 9 mbili za feza moja ni point 7 saiz na nyngne ni point 8 ,kilichonishangaza ni kuona moja ya zile point 9 za awali iko pale pale haijabadilika ! je ni vigezo gan walivyotumia kubadilisha matokeo hayo ?
 
Back
Top Bottom