Kwa hili Obama Kachemsha

Kwa hili Obama Kachemsha

Mkuu swala la Obama kutoa silaha Umelitoa wapi hebu tupe link uliyosoma au kusikia habari hiyo.Au umeamua tu kuandika

Kumbe watu hamsomi NEWS upo duania gani wewe?, unaweza kwenda google's news, search Obama Somalia utapata link kibao...Hiyo sikuandika mimi, nime copy and paste, nadhani muanzisha mada analalamikia hilo ......also check CNN, BBC hizi habari kote zipo,
example
U.S. giving weapons aid to Somalia government - Los Angeles Times

U.S. supplies Somalia gov't with weapons for fighting against rebels_English_Xinhua
 
Back
Top Bottom