Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Na keep akilini dhambi zitazidi kushamiri tu , miaka 10 ni mingi hapo hapo Qatar utakuta kuna mashoga tena wanatambuliwa kabisa na serikali kuna nguvu kubwa ambayo inasukuma agenda hii na haitashindwa na nchi yoyote ileHakuna sema viongozi wa dini wengine wanashirikiana na serikali mfano yule papa anasapot live anaangusha dini tena public
Waislamu wanaendesha mambo kifarisayo yaani wanapenda kuonekana sana kuwa wao wanamjua Mungu sana wakati kimsingi dini ya aina hiyo haijawahi kufauluhawa hawawajui wadhungu, watu watabadilisha gear angani washangae, fasta wau wanasema ngoma ya world cup inapikwa pale wembley.
sasa wao wakati wana bid world cup walikuwa hawajui kuwa watu wa kila aina wataingia kwenye nchi yao? haya mambo ya kijinga sana. ni kutaka ugomvi na watu tuu bure. mambo ya boli na religion au siasa wapi na wapi jamani mbona wanataka kuspoil this beautiful game that has be bequeathed to us
Na hao ni watawala wa dunia hii na hakuna wa kuwashinda , imeandikwa hivyoDini zote zimekataa hata ukija kijamii pia tatizo ni baadhi ya watu kujifanya wanajua haki sana haswa marekani na uingereza
Na hao ni watawala wa dunia hii na hakuna wa kuwashinda , imeandikwa hivyo
Alisimuliwa msikitini huyuNaamini umemaanisha "papa " kiongozi wa kanisa katoliki . Sawa.
Unaweza kudhibitisha Hicho ulichoandika , utuoneshe wapi na lini papa kasapoti ushoga .
Mbona kama comment yako ipo kuunanga uislam?Dhambi haipingwi kwa kuweka sheria wala kumzuia mtu anayebeba mabendera tiba ya dhambi inaanzia ndani kabisa yaani moyoni mwa mtu
Hadi sasa duniani kote kuna watu wanatenda dhambi hiyo na hawajidhihirishi wazi ,Yesu alishasema
[emoji116]
15 Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu.
Marko 7:15
21 Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,
Marko 7:21
22 wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu.
Marko 7:22
23 Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
Marko 7:23
Muslims eg.mimi sehemu ya kwanza kumwona shoga alikuwa ni mwislamu na ilikuwa hapo jijini Tanga nikashangaa mno maana nilidhani hayo mambo yapo huko ng'ambo kumbe yamo katika jamii zinazotuzunguka na wengine ni mashoga na wasagaji na wana heshima zao mtaani.
Though siungi mkono ishu hii bado nadhani dhambi haishindwi na kuzuiwa mabango , tena kuna uwezekano mkubwa wa dhambi kuwa kubwa zaidi kadri unavyopambana kuizuia kwa nguvu badala yake mwache Yesu awafundishe wasipojifunza basi ni sikio la kufa.
Saudia ilikuwa inazuia wanawake kuendesha magari leo hii isharuhusu [emoji23][emoji23]
Wafundishe wanao namna ya kujiepusha na dhambi ,nguvu za kimwili hazijawahi kuishinda dhambi.
Bangi haikufai mkuu, maombi yanayotibu watu ndio yale ya kukanyaga mafuta huko moshi na watu kufariki?Waislamu wanaendesha mambo kifarisayo yaani wanapenda kuonekana sana kuwa wao wanamjua Mungu sana wakati kimsingi dini ya aina hiyo haijawahi kufaulu
Dhambi inatibiwa kwa maombi mengi tena ya kina na yenye hoja zenye akili.
unajuwa kwnn mtu anakuwa shoga?Hakuna sema viongozi wa dini wengine wanashirikiana na serikali mfano yule papa anasapot live anaangusha dini tena public
hutak mtu kutetea haki ya wanyonge?Na hao ni watawala wa dunia hii na hakuna wa kuwashinda , imeandikwa hivyo
ttzo lenu linaanzia hapoMbona kama comment yako ipo kuunanga uislam?
Tanzania ushoga umeshimir pwan na visiwan Zanzibar , tueleze kidg kwann ? au hawajui din?Bangi haikufai mkuu, maombi yanayotibu watu ndio yale ya kukanyaga mafuta huko moshi na watu kufariki?
Sijui nimpe hints hao watu siwapendi kinomaunajuwa kwnn mtu anakuwa shoga?
Sio kweli nin hakina ni propaganda punguza ujinga kaa ulete tafita tuangalie mashoga wangapi tuanzie watu maarufu kama sio wanaotokea kaskazini punguza propaganda leta evidence maana hujui hata pwani hujafikaTanzania ushoga umeshimir pwan na visiwan Zanzibar , tueleze kidg kwann ? au hawajui din?
Anaejiua dini hawezi kuwa shoga, ndio maana huwezi kuta kwenye uislam unajadiliwa ushoga ukubalike ama la, kwenye uislam ushoga ni kharam na adhabu yake kuuawa tuTanzania ushoga umeshimir pwan na visiwan Zanzibar , tueleze kidg kwann ? au hawajui din?
Kivipi?ttzo lenu linaanzia hapo
Kuangukiwa tofali,, kudondoka, etcHao wafanyakazi waliokuwa wakafa hovyo huko Qatar walikufa kufaje
Mkuu kwa sheria za kimataifa hapa si tz even though eneo lipo ndani ya tz