Kwa hili, Simba wanastahili pongezi

Kwa hili, Simba wanastahili pongezi

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Level ya vilabu simba ni timu inayo kuja kwa kasi sana kwenye soko la Digital

Walianza na Page za Instagram twitter na Facebook official mpaka wakapata Verification

Wakatabulisha Chanel yao ya youtube sasa INA viewers na subscribers kibao

Sasa wamekuja na app ya mashabiki..


Kwa Africa ni ya pili baada ya Orlando pirates

Ikumbukwe kwa kutumia app ya simba kama shabiki unaichangia timu kwani timu inajipatia kipato

Shabiki wa simba upewe nni??
Screenshot_20190809-140025.jpeg
Screenshot_20190809-140035.jpeg
Screenshot_20190809-140101.jpeg
 
Yaani msimu uliopita ukichanganya goal difference ya Yanga 29 +33 ya Azam ndio unapata goal difference ya mabingwa wa Nchi Simba 62 .
Halafu kuna mapoyoyo walikuwa wanalalama.
Msimu huu itakua zaidi sasa maana kahata ana zake 20+ kagere zake 20+ kanda 20+ bado boko hapo na kina shiboub
 
Natamani na majirani zangu Yanga nao wakiiga hivi vitu vizuri. Wasiishie kuiga tamasha tu. Ongereni sana Simba
 
Alafu za chini ya zulia eti simba wameshaweka order ya mwewe kampuni ya Airbus,tehe tehe tehe,,,,thimba bwana
 
Back
Top Bottom