Msekule
Member
- May 14, 2019
- 86
- 75
Naipongeza sana ofisi ya uhamiaji mkoa wa mwanza kwa kazi nzuri wanayoifanya, kiukweli makamanda wote wa ofisi hiyo ni wachapakazi na wanajua kutoa huduma nzur kwa wateja.
Yapata wiki sasa tangu nilipofika pale kwa ajili ya kufanya mchakato wa kupata paspoort ya kielectronic, baada ya kufika pale nilieleza shida yangu na kuhudumiwa na dada mmoja hivi anaetoa ushauri mzuri ni kipi kinatakiwa ili upate hati iyo.
Baada ya kuniskiliza aliniambia vitu vinavyoitaji na mm nilikuwa nimwekwenda pale ni kiwa full documentation, nilikwenda kujaza online nikalipia na kuplint nakuambatanisha vielelezo vyangu pamoja na picha.
Alikagua na kujilidjisha na ndipo aliponiambia niende ndan ya cku mbili atanipigia simu ili niende kupiga picha na fingerprint then kulipia.
Haikupita cku mbili nilienda kulipia na kupiga picha na sasa nasubr tu GAMBA langu kwa ajili ya kuluka ugaibuni tukasake maisha.
MIGRATION MWANZA OYEEEEEEEE