Bingwa wa hoja
Member
- Oct 21, 2010
- 23
- 0
Licha ya juhudi zote nilizozifanya za kuandika magazetini juu ya tabia ya wanachadema kusalimiana huku wamekunja ngumi peoples ....power, nimeandika kwenye magaqzeti mbalimbali kuwa kwa maadili na falsafa ya kitanzania kuwa hili ni kosa kubwa , kwa watanzania ngumi haiashirii umoja bali ugomvi, sasa nimeamua kuja JF ambapo bila shaka kuna wanachadema wengi narudia tena kuwaasa na kuwaonya kuwa hata siku moja ngumi sio hoja na kamwe haiwezi kuwa hoja duniani hata kuzimu , ngumi ni fujo, ugomvi na vita full stop.
