Kwa hili swala la wamachinga, Dar tutapaona pagumu

Kwa hili swala la wamachinga, Dar tutapaona pagumu

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
2,035
Reaction score
2,715
Magufuli alitupa uhuru sana. Tukafanya biashara sehemu yeyote. Alituambia hata kama Ikulu kuna sehemu ya wazi tukafanye biashara.

Kinachoendelea kwa huyu Mama ni noma! Serikali yake inafanya kinyume na ya Magufuli. Magufuli tutakukumbuka sana baba r.i.p

download (1).jpg
 
Jata Magu alifanya kinyume na kikwete, mfano kusitisha ajira.
Kwa nini unataka kulazimisha Samia awe Magu.
Baine na Trump wapo sawa kiutendaji na maono.
Unaona sawa kabisa kufanya biashara popote bila kufuata sheria.
Magu alivunja sheria kukuacha ufanye unavyotaka.
Magufuli alikuwa msigina katiba, angekuwepo mpaka leo mitaani polisi wangekuwa hoi vita na wananchi.
 
Magufuli alitupa uhuru sana. Tukafanya biashara sehemu yeyote. Alituambia hata kama Ikulu kuna sehemu ya wazi tukafanye biashara.

Kinachoendelea kwa huyu Mama ni noma! Serikali yake inafanya kinyume na ya Magufuli. Magufuli tutakukumbuka sana baba r.i.p

View attachment 1955532
Huenda hili likawa bandiko la kipumbavu mwaka wa 2021!!! Yan mnalazimisha na kusifia uvunjaji wa sheria!?? Hata wewe mtoa bandiko nyumbani kwako kuna utaratibu !!! Acha utoto
 
wamachinga mnaitajika vijijini na vimiji vinavokuwa.kila siku nawaeleza humu mtaki kusikia.

njooni kahama,katavi,songwe,karagwe na sehemu ambazo zinataka uwekazaji sio ma jiji
 
Huenda hili likawa bandiko la kipumbavu mwaka wa 2021!!! Yan mnalazimisha na kusifia uvunjaji wa sheria!?? Hata wewe mtoa bandiko nyumbani kwako kuna utaratibu !!! Acha utoto
huu ni uzi kama uzi mwingine unahaki ya kuchangia au kuacha,kama unaona li kipumbavu ni wewe kivyako,kwani hao machinga wanaona furaha wanavyofanyiwa,kama kukaa sehemu isiyo husika ni kuvunja sheria,kwanini serikali wasingewatafutia mahali pengine wafanye biashara zao, sio kuwavunjia wewe unadhani nyuma ya hao wamachinga wanawatu wangapi wanao wategemea?usifosi taarabu kumenya muwa
 
Nchi inaenda kwa sheria na sio tamko la mtu mmoja aliejifanyia mambo anayotaka yeye na sio sheria
 
sheria ok yajayo naona chanjo itakuwa lazima

Mkuu hilo halina mjadala wataanza na wauguzi halafu wafanyakazi wa umma watafuata
Lithuania hata petrol huwezi weka kama hauna chanjo hao ni wajamaa haswa
Na sisi itakuwa hivyo huingii guest bila chanjo tena unachomwa mlangoni [emoji23][emoji23]
 
ile 666 inatimia
 
Back
Top Bottom