Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Watu ni vilaza sana, ambacho baadhi ya machinga wanafikiri nchi ilikua ya Magufuli . huu ni Utawala mwingine,
Mamlaka ya Nchi yako kwa
Bi.Samia Suluhu Hassan utawala wa magufuli ulishaisha, kikubwa watu tuache mambo ya kale tuende na wakati.
Na bado subirini huko sokoni mnakopelekwa ushuru wa soko unawafata, kila iitwapo leo.