APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
KufeniAwamu hii wanyonge hatuna chetu
Haa Haa HaaAwamu hii wanyonge hatuna chetu
Magufuli alikuwa msigina katiba, angekuwepo mpaka leo mitaani polisi wangekuwa hoi vita na wananchi.Jata Magu alifanya kinyume na kikwete, mfano kusitisha ajira.
Kwa nini unataka kulazimisha Samia awe Magu.
Baine na Trump wapo sawa kiutendaji na maono.
Unaona sawa kabisa kufanya biashara popote bila kufuata sheria.
Magu alivunja sheria kukuacha ufanye unavyotaka.
Kwa sasa tunafata sheria sio kauliMagufuli alitupa uhuru sana
Huenda hili likawa bandiko la kipumbavu mwaka wa 2021!!! Yan mnalazimisha na kusifia uvunjaji wa sheria!?? Hata wewe mtoa bandiko nyumbani kwako kuna utaratibu !!! Acha utotoMagufuli alitupa uhuru sana. Tukafanya biashara sehemu yeyote. Alituambia hata kama Ikulu kuna sehemu ya wazi tukafanye biashara.
Kinachoendelea kwa huyu Mama ni noma! Serikali yake inafanya kinyume na ya Magufuli. Magufuli tutakukumbuka sana baba r.i.p
View attachment 1955532
huu ni uzi kama uzi mwingine unahaki ya kuchangia au kuacha,kama unaona li kipumbavu ni wewe kivyako,kwani hao machinga wanaona furaha wanavyofanyiwa,kama kukaa sehemu isiyo husika ni kuvunja sheria,kwanini serikali wasingewatafutia mahali pengine wafanye biashara zao, sio kuwavunjia wewe unadhani nyuma ya hao wamachinga wanawatu wangapi wanao wategemea?usifosi taarabu kumenya muwaHuenda hili likawa bandiko la kipumbavu mwaka wa 2021!!! Yan mnalazimisha na kusifia uvunjaji wa sheria!?? Hata wewe mtoa bandiko nyumbani kwako kuna utaratibu !!! Acha utoto
tatizo walikuwa wapi mpaka leo wanawafukuze,tatizo la hii nchii inaongozwa kisichanaMnataka mkae mabarabara yoote hata gari zikose pa kupita acheni hayo mambo ya kienyeji
Awamu hii wanyonge hatuna chetu
usi mnyongee ana watu wanao mtegemea afande
sheria ok yajayo naona chanjo itakuwa lazimaNchi inaenda kwa sheria na sio tamko la mtu mmoja aliejifanyia mambo anayotaka yeye na sio sheria
sheria ok yajayo naona chanjo itakuwa lazima
ile 666 inatimiaMkuu hilo halina mjadala wataanza na wauguzi halafu wafanyakazi wa umma watafuata
Lithuania hata petrol huwezi weka kama hauna chanjo hao ni wajamaa haswa
Na sisi itakuwa hivyo huingii guest bila chanjo tena unachomwa mlangoni [emoji23][emoji23]