fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
kwa taarifa yako hakuna tatizo ambalo mama halioni,anaona kila kitu,na juhudi anazofanya ni kubwa sana kurekebisha na kutatua hayo matatizo,elewa nchi ina matatizo mengi,na uwezo wa kifedha sio mkubwa,tuvumilie tuUmeme umekuwa shida kuu hapa nchini, kila kona ni vilio kutokana na uhaba wa umeme.
Mama hasikii kilio cha wanae, tumekuwa watoto yatima ingawa tunaye mzazi.
Nani atakuja kusikia kilio cha watanzania kutokana na uhaba wa umeme?
Wakubwa gani hao mkuuInasemekana wakubwa wameshaingia mikataba na wauza sola na majenereta hivyo upatikanaji wa umeme wa uhakika itabaki kuwa historia hapa nchini
Pole sana, pole yetu sote. Ipo siku tutapata Kiongozi anayejali shida za wananchi wake.Yani nafungua thread na umeme unakatika
Nchi ipo pabaya mno mno!..bila kusahau ukosefu wa SUKARI,maji,usafiri mbovu wa DART,tren ya G/mboto na Kivuko cha Ferri...
Kazi kwelikweli!!
Anachakarika kivipi. Mimi sioni kama anachakarika bali ameuchapa usingizi mzito.mama anachakarika si mchezo ndugu yangu
itoshe kusema huyu mama ni kiongozi mchapa kazi haijawahi kutokea
Ukitaka mama afanyaje ili uamini anasikia!?..habari za bwawa la mwalimu Nyerere na mgao kuisha huwa unalisikia!?..unafuatilia kinachoendelea huko bwawani!?Umeme umekuwa shida kuu hapa nchini, kila kona ni vilio kutokana na uhaba wa umeme.
Mama hasikii kilio cha wanae, tumekuwa watoto yatima ingawa tunaye mzazi.
Nani atakuja kusikia kilio cha watanzania kutokana na uhaba wa umeme?