Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Inashangaza sana
Ishu inajulikana kuwa kweli watuhumiwa waliteswa mpaka mmoja alifariki .kinachoshangaza wanasema wanafanya upelelezi.upelelezi gani wakati tukio limetokea ndani ya ofisi ya kata? Mtendaji na mwenyekiti walikuwepoKwakuwa umeirudia karibia mara ya tatu hii habari, nadhani hii itakuwa kweli kabisa na hapo inaonyesha polisi wanafumbia hayo mauaji maana yamefanywa na mwanajeshi, na viongozi wa hicho chama kinachopita bila kupingwa. Halafu kuna watu utasikia wanasema watu watii mamlaka huku mamlaka hizo hizo zikifanya mauaji. Hakikisha hii habari unairudia kila mara huku ukienda kushitaki kila ngazi mpaka kieleweke.
Ishu inajulikana kuwa kweli watuhumiwa waliteswa mpaka mmoja alifariki .kinachoshangaza wanasema wanafanya upelelezi.upelelezi gani wakati tukio limetokea ndani ya ofisi ya kata? Mtendaji na mwenyekiti walikuwepo
Tutakomaa mpaka huo uovu anaotetea uwe aibu kwakeAcha kutetea uovu dogo.
Kivipi?Mtoa mada umechanganya madesa
Hatuwafundishi kazi police.lakini ni haki yetu kujua nini kinaendelea katika upelelezi wa kesi.Ndio maana hata mahakimu huwa wanasisitiza upelelezi ufanyike haraka.hata ukiwa na kesi una haki kumuuliza mpelelezi wa kesi kuhusu maendeleo ya kesi.sio kumfundishan fanya hivi n.k.Msemaji Wa Police Tanzania, Alisema Usitufundishe Kazi
Sisi Ndiyo Tunaojua,ππ ππ
Tukio tofauti.hili lilitokea kata ya kahama wilaya ya ilemelaHili tukio ni tofauti na lile la Nyakabungo A sijui B?
Maana huko nako ili-reportiwa watuhumiwa kula kichapo mazingira hayo hayo hadi mmoja kuvuta.
Watanzania Siyo WajingaHatuwafundushi kazi police.lakini ni haki yetu kujua nini kinaendelea katika upelelezi wa kesi.Ndio maana hata mahakimu huwa wanasisitiza upelelezi ufanyike haraka.hata ukiwa na kesi una haki kumuuliza mpelelezi wa kesi kuhusu maendeleo ya kesi.sio kumfundishan fanya hivi n.k.
Alivuta mmoja wapi....watatu...kitaa chetu hapo....japo wale walitembezewa vitasa na wananchi...Hili tukio ni tofauti na lile la Nyakabungo A sijui B?
Maana huko nako ili-reportiwa watuhumiwa kula kichapo mazingira hayo hayo hadi mmoja kuvuta.