KALYABUNUNU
Member
- Dec 21, 2012
- 21
- 7
Chuo kikuu cha DODOMA kimeshindwa kutoa TRANSCRIPT kwa wanafunzi waliohitimu katika chuo hicho mwezi Juni 2012.
Wengi wao wanapoomba kazi wanatumia STATEMENT OF RESULTS ambayo haitambuliki kitaifa na kimataifa na hivyo wahitimu wengi kukosa kazi.
Vile vile hata wanafunzi waliohitimu shahada ya elimu ktk baadhi ya Halmashauri zimeshindwa kuwaajiri na kuwaambia walimu hao kuwa hawataingizwa kwenye pay roll mpaka wawe na TRANSCRIPT.
Hivi hiki chuo kinaandaaje watu bila kuwapa vyeti vyao kwa muda muafaka?

ila wapo walio pata ajira TRA juz kwa hayo matokeo....
ila udom bado ni chuo kichanga sana hivyo sio jambo la kushangaza
hiki chuo nacho ni janga la kimataifa maana kimegharimu fedha nyingi na wanachuo wake hata field hawafanyi kweli ni quantity not quality na wanasiasa waliokianzisha wala hawakijali
Hii inasikitisha sana .Chakushangaza ni kuwa gharama za hizo transcripts zishatafunwa