Kwa hili, UDOM ni chuo KIKUBWA na si CHUO KIKUU

Hili ni suala nyeti,linawakosesha wahitimu nafasi za kazi,ingekuwa nchi za wenzetu ambako kuna demokrasia na uwajibikaji suala hili lingechukuliwa kwa uzito unaostahili,halafu si hayo tu kuna baadhi transcript zao zimekosewa mtu kasoma sociology unakuta kajaziwa masomo ya kiswahili na historia na kaandikwa ni FEMALE wakati ni mwanamme..hawapo serious hata kidogo,ukiwaambia cheti kimekosewa wanakupa muda wa miezi 12 ndio watakuwa wameshughulikia,ni ubabaishaji wa kipuuzi kabisa
 
Field wanafanya, hii sio habari ya ukweli.sijui umeitoa gazeti lipi
Hawafanyi field baadhi ya kozi, wewe vipi? Umesahau kwamba mpaka sasa ule mgogoro wa UDOM na wanafunzi wa International Relations walioambiwa course yao haina field bado haujaisha? Kuna kozi kama Development Studies pia hawafanyi field
 
mmmhhhh! hii ni kero kwanini mwanafunzi asipate cheti chake cha kuhitimu kwa mda husika. watanzania tuamke katika mambo ya msingi
 
Tatizo si udogo tatizo ni kumpa profesa wa kiswahili kuongoza finance department, na mkuu wa chuo kuwa prof wa kiswahili, dunia nzima ni Tanzania tuuu.
Yani elimu yake ya uprofesa ni kozi ya kiswahili!
 
Utashangaaa mengi sana mana ata sie tulipewa transcript 2 yani semista ya 1 na 2 yapo pamoja na semista ya 3 peke yake kama wameshindwa ata kuajiri secretary wa ukweli wataweza hayo? Uko ni furu ubabaishaji
 
Tatizo si udogo tatizo ni kumpa profesa wa kiswahili kuongoza finance department, na mkuu wa chuo kuwa prof wa kiswahili, dunia nzima ni Tanzania tuuu.


Acha ujinga kila jambo linaenda taratibu huwezi kuzalia leo na kutembea mara moja.
 

nimaliza UDOM sikuwa na Transcript wala nini na nimekula shavu kwa raha zangu wewe endelea kupiga miluzi kama mchunga ng'ombe!
 

Kuna mshikaji wangu anakiita chuo cha kata
 
hiki chuo nacho ni janga la kimataifa maana kimegharimu fedha nyingi na wanachuo wake hata field hawafanyi kweli ni quantity not quality na wanasiasa waliokianzisha wala hawakijali

Nimependa comment yako kwenye nyekundu. Hapo ndipo tuna tatizo kubwa sana Tanzania. Wanasiasa wetu huwa wanadhani tatizo ni kuanzisha kitu au kujenga kitu kikubwa ili wakiite jina lao ili wawe watu maarufu. Hawatilii maanani umuhimu wa kufanya hii miradi kuwa endelevu wakati wa kuianzisha. Na hii inatokana na kutokuwa na ufahamu wa ukubwa wa jambo au mradi wenyewe. Wakati walipomaliza kukijenga chuo kile ungewauliza kingewagharimu kiasi gani kila mwaka na mapato yangetoka wapi au ruzuku ya kukiendesha hakuna mwanasiasa hata mmoja angeweza kujibu kwa usahihi. Ila walipomaliza tu walijisifu sana kuwa ni uongozi wa ..so and so.... umefanikisha kujenga chuo kikuu! Huu ni mwendelezo wa shule za Kata.
 
Acha ujinga kila jambo linaenda taratibu huwezi kuzalia leo na kutembea mara moja.
Wewe ndo mjinga, Tangu mwez wa sita 2012 hadi sasa hivi chuo kiko kimya. Imebaki miezi miwili wahitimu wanafunzi wengine. Kwa maana yako ya taratibu unataka chuo kirundike wahitimu mitaani bila vyeti? Mfano wako ulioutoa ni butu hauna maana yoyote au unafurahia chuo kinapochezea maisha ya watu?
 
Ukimwambia mkuu wa chuo atakwambia umenizidi urefu na umaskini tu huna lolote ........hahaha hii ndo Tanzania kaka
 
hao waliopata TRA itakuwa ni hizi ajira za kujuana pia hata kama ni kichanga yanini kukimbilia macallege kibao ivo wakati hamwezi kuyahudumia yote? Ni bora wangeanza na college moja na ikakamilika kila idara
Ukiwa na familia yenye watu watatu, kisha kutokana na ugumu wa maisha ukanunua mkate unaomtosha mtu mmoja, je utaula wote wewe kama baba wa familia na kuiacha familia akiteketea kwa njaa, ama utagawana na wanao?
 
nimaliza UDOM sikuwa na Transcript wala nini na nimekula shavu kwa raha zangu wewe endelea kupiga miluzi kama mchunga ng'ombe!
Mkuu wewe tulia tu, nyonya taratibu usipige kelele, wakishastuka walikuwa wakipiga makelele mengi ya majigambo pengine ya vyou walivyosoma japo navyo ni yaleyale, wewe utakuwa umeshameki! Bongo ya leo siyo ya kufuata mikumbo! Hakuna ujamaa tena, wewe fanya yako na nimeshuhudia wana UDOM wengi tu wakifanya vizuri tena zaidi ya waliotoka
vyuo zuefu! Fucus on what you know, na si chuo gani ulisoma!
 
Ni chuo chenye eneo kubwa kweli siyo chuo kikuu naunga mkono hoja kwa asilimia 100 kwanza kusomeshwa na vijana wasio jua maana ya elimu ya juu zaidi wao wanawaza kupata hela na kuendesha magari ya kifahari
 
ujinga ni kukubali kuwa sehemu ya majaribio, hongera
 
Tatizo si udogo tatizo ni kumpa profesa wa kiswahili kuongoza finance department, na mkuu wa chuo kuwa prof wa kiswahili, dunia nzima ni Tanzania tuuu.

He kwani mkuu wa chuo anatakiwa awe na qualification gani mpaka uone Prof. wa Kiswahili hafai?
 
Kuna mama mnoko anaharibu chuo wa hr amekalia majungu tu hawapendi wachapa kazi yani mwanamke huyu mtu mzima matatizo matupu katokea ud alipondoka watu walifanya sherehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…