Sir M.D.Andrew
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 201
- 37
Hili ni suala nyeti,linawakosesha wahitimu nafasi za kazi,ingekuwa nchi za wenzetu ambako kuna demokrasia na uwajibikaji suala hili lingechukuliwa kwa uzito unaostahili,halafu si hayo tu kuna baadhi transcript zao zimekosewa mtu kasoma sociology unakuta kajaziwa masomo ya kiswahili na historia na kaandikwa ni FEMALE wakati ni mwanamme..hawapo serious hata kidogo,ukiwaambia cheti kimekosewa wanakupa muda wa miezi 12 ndio watakuwa wameshughulikia,ni ubabaishaji wa kipuuzi kabisa