MREMBO WA AFRIKA
Member
- Feb 6, 2014
- 65
- 17
We umeenda chuoni kusoma hayo mambo ya udini yanakuhusu nn? tatizo watu tunashindwa kuelewa purpose inayotupeleka chuoni...unahangaiiika,ukija mtaani hawaangalii ulikuwa unateteaje udini wanachotaka ni uwezo wako wa kufanya kazi.dini ikusaidie kutenda mema c kuanza kuwaza tuko waislam au wakristo wangap? hata wangekuwa wote waislam au wakristo academic yako inaathirikaje?