Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kwa hapa nawapa heko. Utakutana na mdada mtakuwa na mazungumzo tu ya kawaida. Utataka umjue japo kidogo...
Lahaulah ukiuliza miaka atakuambia 21 au Im turning 24 next month uso mkavu anakukazia sura.
Hapo inabidi ukubali tu maana hukumzaa ila moyoni unajichekee hiiii. Halafu wajanja kweli huwa hawaendi mbali wwbacheza kwenye 21-32. Huyu wa 32 ujue anakaribiana na 45.
Huyu wa 24 ndiyo kasogea 32. Wazee nyie yanawakuta au nadanganywa mwenyewe tu?
NB: mwanamke haulizwi umri ila bora usahau jina lake sio siku yake ya kuzaliwa.