Kwa hili wanawake mnatupatia kweli.

Kwa hili wanawake mnatupatia kweli.

Ndiyo wa kwanza kusheherekea mwaka mpya na mbwembwe kibao. Utaona status za wasap kama round about ya (Ccm pale Mwanza) ila kadri mwaka unavyosogea wanaanza kuwa kama wamekunywa tindikali.

Siku moja nikaona mmoja ameandika mtandaoni forever young! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikajiuliza uyoung wake uko wapi kama Bolo Yang tu kazeeka iwe yeye.

Ashley Young licha ya kuwa mwanaume ila kwa sasa umri umemgeukia. Wanawake wasiojishaua huwa wanakuwa na sura nzuri sana ambazo hazizeeki.
Jitahidi kuhakiki maneno kabla ya kutuma mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapa nawapa heko. Utakutana na mdada mtakuwa na mazungumzo tu ya kawaida. Utataka umjue japo kidogo...

Lahaulah ukiuliza miaka atakuambia 21 au Im turning 24 next month uso mkavu anakukazia sura.

Hapo inabidi ukubali tu maana hukumzaa ila moyoni unajichekee hiiii. Halafu wajanja kweli huwa hawaendi mbali wwbacheza kwenye 21-32. Huyu wa 32 ujue anakaribiana na 45.

Huyu wa 24 ndiyo kasogea 32. Wazee nyie yanawakuta au nadanganywa mwenyewe tu?

NB: mwanamke haulizwi umri ila bora usahau jina lake sio siku yake ya kuzaliwa.
Wadada hatariii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sikumbuki mara ya mwisho kuulizwa umri lini...
 
Back
Top Bottom