Hebu kwanza tuanze na wewe. We una miaka mingapi?Kwa hapa nawapa heko. Utakutana na mdada mtakuwa na mazungumzo tu ya kawaida. Utataka umjue japo kidogo...
Lahaulah ukiuliza miaka atakuambia 21 au Im turning 24 next month uso mkavu anakukazia sura.
Hapo inabidi ukubali tu maana hukumzaa ila moyoni unajichekee hiiii. Halafu wajanja kweli huwa hawaendi mbali wwbacheza kwenye 21-32. Huyu wa 32 ujue anakaribiana na 45.
Huyu wa 24 ndiyo kasogea 32. Wazee nyie yanawakuta au nadanganywa mwenyewe tu?
NB: mwanamke haulizwi umri ila bora usahau jina lake sio siku yake ya kuzaliwa.
Kwahiyo wewe una miaka 25?Mimi nimeamua kukopi ya Emanuel Macron. Ninaishi na ajuza ni mtamu kweli ananipa yote. Menses zimeshakoma, ila yuko soft kama Angellah Jasmin Kairuki (nae pia namzimia kweli ila sijapata wasaa wa kumtamkia) ni MWENDO wa 25 v/s 45
Sent using Jamii Forums mobile app
We huchelewi kutudanganya una miaka 23 wakati tumesoma wote shule ya msingi Mtakuja primary school international St. Anna academy.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]jamani Mimi ninayo 21. Huyo uliyesoma naye ni Mama yangu.We huchelewi kutudanganya una miaka 23 wakati tumesoma wote shule ya msingi Mtakuja primary school international St. Anna academy.
Mwanamke haulizwi
umri.
Mwanaume haulizwi
unafanya kazi gani...
Kumbe we mdogo wangu komredi. Miaka miwili si haba. Hivi hatukusoma wote pale VETA Chang'ombe?Mwaka huu natimiza miaka 63 na totoz bado napata!
🤣🤣🤣🤣
We una miaka kumi na ngapi?Pole sana dogo.
16 babu.We una miaka kumi na ngapi?