Kwa hili wanawake tunakosea sana

Nimestuka yaani the same scenario imetokea mtaani kwetu mpaka nikahisi tunakaa mtaa mmoja niniii....ila tofauti imekuja kwenye idadi ya watoto...huyu hapa mtaani kwetu ana mtoto mmoja ila pia hajabadilisha ubini wa mtoto (jina la baba mtoto)
Ila jamaa hajafanya ajizi mkewe alivoondoka tu (baada ya miezi 3) akaleta pini moja kali mpaka aibu.
Mchepuko kamtelekeza mke wa jamaa juzi kati tu.
Hatari sana!! Saivi vijana wanajichapia tu ili apate matumizi walau.
 
Kama.mwanamke anaweza kuacha mume wake na watoto vipi wewe uliyemchukua si anaweza kufanya hayo hayo?? Karma never forget wa kumla.
 
Inasikitisha saana kwa kweli!

Mwanamke, ukitumia akili na fedha kiasi kumhadaa; atakubali hata kwa mambo yasiyowezekana katika dunia hii.
Hasa akikolezwa na penzi la nje.

Sasa hapo ndipo anayaona makosa yake.
Chanzo cha yote haya ni kupenda pesa na maisha marahisi kupindukia, kibri ya kufanya hayo ni ile uhakika kiwa Bwana mpya ana pesa na uwezo wa kumtunza yeye na wanaye.
 
Kashakuwa Single mother tayari. Tamaa hizi zinawaua wanawwake.
 
Umegusa penyewe, utaona mapovu ya Wanaume dhaifu walioachwa na Wanawake.
 
alafu unasikia," ...yani wanaume wa siku hiziii...ni wahuniiiiii......"
Sio wahuni sisi wanaume ninyi mnajua sana kukabiliana na hilo ndipo hukupata yale unayoyaita wanaume ni wahuniii kuwa mstarabu upate mema ya mume
 
kweli mwanamke anabadilisha na majina ya watoto....... na huyo mme mkuu na yeye yuko wapi......??? hata na mmewe ni bwege tuu........
 
Naamini maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…