Kwa hili watu wa Kaskazini wanaongoza kwa population Dar

jenerali kibibi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,167
Reaction score
623
wakuu habarini,
kama kichwa cha habari hapo juu,nashawishika kuamini jiji LA dar limekaliwa kwa wingi na watu wa mikoa ya kaskazn,sababu zifuatazo
1_wakati huu wa x mass wenyej wa mikoa ya kaskzn huenda kusherekea sherehe kwao,magari ya kwenda huko huadimika gafla kwa maana ya kujaa hali inayowalazimu Sumatra kuomba msaada wa mabasi aina ya daladala ili kuokoa jahaz
2_njia ya kaskazn INA mabasi mengi sana kwa maoni yangu ndio njia inayofuatia kuwa na mabasi mengi ukitoa njia ya kanda ya ziw kwrnda magharib,imagine pamoja na mibasi yote hiyo lakin bado haitoshelez mahitaji ya abiria
3_biashara nyingi dar msimu huu zinayumba sana hi inaonyesha kuwa watu hao wameathir biashara kwa kutokuwepo watakaporudi January ndio biashara huimarika
4_foleni dar hupungua kiaina miez hii wawapo likizo ya kwenda xmass
5_niishie hapo hii inaonysha n jinsi gan watu kaskaxn wamelishika jji hilo kiuchumi
pia utamaduni wa kwenda xmass Mikoan kwao n wa kipekee KBS haujawah tokea kwa jamii zingine,muda huu kwao huko n sherehe mfululizo had I January ikizingatia wenzetu hawa wanajenga sana mijumba ya kifahari mikoani kwao,muda huu wapo na familia zao kupunzika
NAWASILISHA
 
Watu wa kazkasin wako vizur sana na hawajitapi kama ndugu zangu wahaya ambao ni choka mbaya kazi kuongea lugha ya malkia wakati mifuko haina kitu
n kweli mkuu wana uchumi mkubwa lkn hawajionyeshi wapo silent sana mkoan kwao wamejenga mijumba ya kifahari ikichagizwa na kijani kibichi cha migomba na kahawa
 
Nakuona katika ubora wako
 
Wahaya mbona huwa ndo wa kwanza kuongelewa unapotaja kaskazini kuna kitu hapo sio bure nipe sababu
Kwa sababu wahaya na wakazkasin wamesoma lakin wakazkasin elimu yao imewasaidia wakapiga hatua kutoka sehemu moja kwenda nyingine lakin wahaya elimu yao haijawasaidia zaid ya kubaki kuongea kingeleza wakilewa wakati maisha yao ni choka mbaya

Mkoa wao ndo Mkoa masikin wakat wao ndo wasomi

Wako mwanza kama watumwa kaz zao ni kuuza mitumba mnadan juan kwa kifupi elimu yao haijawasaidia

Nazan umenipata
 
asante sana mkuu aisee umejibu kitaalamu KBS kama hajaelewa ufafanuz huu murua anatakiwa apelekwe kwa mtaalamu wa maginjwa ya akili
 
Ha ha ha mabasi yanajaa! Kweli wa kaskazini wachovu sisi Wahaya tunajaza ndege buana...na foleni kupungua ni sisi Wahaya buana wakati sisi tumetangulia na ndege madereva wanakuja na zile bmw,benz,range rover ili tukazitumie kule kijijini!
 
Ha ha ha mabasi yanajaa! Kweli wa kaskazini wachovu sisi Wahaya tunajaza ndege buana...na foleni kupungua ni sisi Wahaya buana wakati sisi tumetangulia na ndege madereva wanakuja na zile bmw,benz,range rover ili tukazitumie kule kijijini!
kadanganye wajinga
uwanja wa bukoba kwa mwaka hata abiria 50000 hawafiki
uwanja wa Kilimanjaro kwa mwaka n said ya 250000
sasa nan wa kumtambia mwenxie?
nyie mkoa wenu n wa tatu kwa umaskini tz MNA hela za ndege?
keen kagera vijumba vya nyasi shaz MNA ubavu wa kujaza ndege?
 
Wapemba wa Uarabuni nao wameondoka kula sikuku, kuna Warussia flani nao wanaondoka kesho kula x mass kwao
 
una matatizo ya akili we mcheza bao
mmeuza mji wa dar kwa wagen mmebaki kucheza bao na kigodoro mtaishia kusema wez ndio wanaowaweka hapo mjin wavivu wakubwa nyie
Tatatibu usije kupata heart attack kwa hilo povu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…