jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
wakuu habarini,
kama kichwa cha habari hapo juu,nashawishika kuamini jiji LA dar limekaliwa kwa wingi na watu wa mikoa ya kaskazn,sababu zifuatazo
1_wakati huu wa x mass wenyej wa mikoa ya kaskzn huenda kusherekea sherehe kwao,magari ya kwenda huko huadimika gafla kwa maana ya kujaa hali inayowalazimu Sumatra kuomba msaada wa mabasi aina ya daladala ili kuokoa jahaz
2_njia ya kaskazn INA mabasi mengi sana kwa maoni yangu ndio njia inayofuatia kuwa na mabasi mengi ukitoa njia ya kanda ya ziw kwrnda magharib,imagine pamoja na mibasi yote hiyo lakin bado haitoshelez mahitaji ya abiria
3_biashara nyingi dar msimu huu zinayumba sana hi inaonyesha kuwa watu hao wameathir biashara kwa kutokuwepo watakaporudi January ndio biashara huimarika
4_foleni dar hupungua kiaina miez hii wawapo likizo ya kwenda xmass
5_niishie hapo hii inaonysha n jinsi gan watu kaskaxn wamelishika jji hilo kiuchumi
pia utamaduni wa kwenda xmass Mikoan kwao n wa kipekee KBS haujawah tokea kwa jamii zingine,muda huu kwao huko n sherehe mfululizo had I January ikizingatia wenzetu hawa wanajenga sana mijumba ya kifahari mikoani kwao,muda huu wapo na familia zao kupunzika
NAWASILISHA