Kwa hili watu wa Kaskazini wanaongoza kwa population Dar

Ha ha ha mabasi yanajaa! Kweli wa kaskazini wachovu sisi Wahaya tunajaza ndege buana...na foleni kupungua ni sisi Wahaya buana wakati sisi tumetangulia na ndege madereva wanakuja na zile bmw,benz,range rover ili tukazitumie kule kijijini!
MNA ubav wa ndege kiasi hicho? mbn mkoa wenu n wa tatu kwa umaskin hizo mbwembwe za kudanganya malofa
 
Hahahaha
 
One thing about watu wa kaskazini ni hard workers.
Na ndio siri.ya mafanikio yao, wakija mjini wanachapa kaz,wanatafuta pesa wkt wenyeji wamekalia vigodoro,kucheza draft na kujadili siasa.
 
Sio kweli mkuu sisi Wahaya ndio tumepunguza foleni mjini. Halafu wewe lazima ulikuwa mhaya kwanza kabla ya kuwa mchagga
mmepinguza folen kivp wakati nyie hamdhamin kwenu
mngekuwa mnathamn kwenu pale bukoba pangechakaa vile?
mmebaki kuongea kiingereza kibovu bovu na sifa uchwara nenda klmnjaro ushuhudie migorfa mgombani
 
mmepinguza folen kivp wakati nyie hamdhamin kwenu
mngekuwa mnathamn kwenu pale bukoba pangechakaa vile?
mmebaki kuongea kiingereza kibovu bovu na sifa uchwara nenda klmnjaro ushuhudie migorfa mgombani
Ah wapi...hujafika bukoba wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…