Kwa hili watu wa Kaskazini wanaongoza kwa population Dar

kazi gani mnafanya huku town hakuna mashamba..
Kama unabisha angalia makabila ya kaskazini.. tafuta hata mmoja hapo dar aliyekaa kiboya kama utampata. Watu wametumwa pesa, hawako town kupaka poda
 
Naona Mangi mnapeana sapoti
Hapana mkuu mimi kanda maalumu lakni tukija kwenye suala zima la kuchapa kazi na maendeleo hawa jamaa wako njema.... Kule kwetu naona mji unazidi didimia kila mwaka.... watu wavivu kwelikweli...[emoji35] [emoji35]
 
Wako njema, hao ni pesa tu kwa njia yoyote ile pesa ipatikane. Shikamoo pesa
 
So unamaanisha wapo wauza nyapu...na washika bunduki cha msingi wao waingize pesa tu....

Ila idadi ya matapeli hama mjini nadhani wachaga wanaongoza....
 
Hapana mkuu mimi kanda maalumu lakni tukija kwenye suala zima la kuchapa kazi na maendeleo hawa jamaa wako njema.... Kule kwetu naona mji unazidi didimia kila mwaka.... watu wavivu kwelikweli...[emoji35] [emoji35]
asante mkuu kwa appreciation yako
kuna vipofu wa akiki wanabishia uzoefu
 
Hapana mkuu mimi kanda maalumu lakni tukija kwenye suala zima la kuchapa kazi na maendeleo hawa jamaa wako njema.... Kule kwetu naona mji unazidi didimia kila mwaka.... watu wavivu kwelikweli...[emoji35] [emoji35]
asante mkuu kwa appreciation yako
kuna vipofu wa akili wanabishia uzoefu
 
Back
Top Bottom