Kwa hili watu wa Kaskazini wanaongoza kwa population Dar

Watuuu wa kaskazn washambaaaa tuuuuu hasa waleeee waha-------------------------------ya daaaaa nomaa bora ataa msukumaaaaaaaaa
 
Dah... kwani watu wa kaskazini wanaanzia wapi? ..kuuliza si ujinga[emoji14] [emoji87]
Tunafanana nami nilitaka kujua naona wanazungumzia arusha na Moshi tu kaskazini mwa Tanzaniakunaanzia wapi na inaishia wapi
 
Aisee huwapendi wahaya, ila wanapenda misifa sana.

Usiombe kazini boss awe muhaya alafu demu wake akaja kutembea pale ofisini
 
Mimi naondoka zangu ijumaa usiku ili nianze supu pale Mgagau mapeema ya kondoo,nikitoka hapo niingie pale mwanga kuchuku wale samaki wa nyumba ya mungu alafu baada ya hapo nikikunja pale himo natembea hadi majengo naaza ifunguwa Castle Lager nimalizapo hapo moja kwa moja Arusha pale Naura Spring kwa kuanza kuisubiri Home kesho ya Ambapo ni FIRE karibu na chimbo la kula mbuzi pale SiNoNi Karibu KASKAZINI
 
big up kwako utamadun murua
 
Jana naenda Ubungo kutafuta Bus to Arusha wanasema gari zimejaa hadi Tarehe 27. Nilisafiri Saa mbili usiku na Gari Private now nipo Arusha naendelea na shughuli zangu.
 
Jana naenda Ubungo kutafuta Bus to Arusha wanasema gari zimejaa hadi Tarehe 27. Nilisafiri Saa mbili usiku na Gari Private now nipo Arusha naendelea na shughuli zangu.
noma sana
 
Funga uzi, nisione mtu analinganisha kaskazini na sijui wapi huko, Hao tunawaachia wasambaa tuu pale mombo kwenda juu, kwishaa habari yao. Battle ya moshi hawataiweza, mana himo tu kwa wapare wawili watatu hawanusi, sembuse moshi? Aaa wewee ustake kunitania
 
Wachagga kibao wako mjini hapa hawana mbele wala nyuma msilete uongo hapa. Huko milimani wanywa viroba kibao wasted.
Kaangalie makwao walivyo jenga ndio useme hivyo. Mim nimetembelea Moshi vijijin karib yote, ni hiv huwa wanajenga makwao.. huko huko vijijini. Kuhus walev,mbona hata dar wanywa viroba wako wa kutosha? Hakuna mkoa ambao hauna walev. Usilite chuki binafsi.
 
Kwahio 100% ya Wachagga wote wana maisha mazuri? Kwani nimekwambia hakuna mkoa unawalevi? Kabla ya kuvamia post ya mtu isome na ujue kamjibu nani. Nimemjibu aliesema Wachagga wote wana maisha mazuri hapa mjini, SIO KWELI wapo kibao wana hali ngumu. Btw hii thread ishatupwa jukwaa la chit chat as I treated it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…