Utaaibika sana ukifika bkmmepinguza folen kivp wakati nyie hamdhamin kwenu
mngekuwa mnathamn kwenu pale bukoba pangechakaa vile?
mmebaki kuongea kiingereza kibovu bovu na sifa uchwara nenda klmnjaro ushuhudie migorfa mgombani
Acha uongo bk airport inachukua watu laki tano kwa mwaka hebu Goolgle sio porojo.halafu kia ni wa kimataifa na kumbuka tz kuna vitatu vya kimataifa tz inaitegemea hivyo .watu wanaoenda bk kwa ndege ni wengi sana ndo maana mkulu anawapanulia uwanja wa bk.ili ndege kubwa zitue palekadanganye wajinga
uwanja wa bukoba kwa mwaka hata abiria 50000 hawafiki
uwanja wa Kilimanjaro kwa mwaka n said ya 250000
sasa nan wa kumtambia mwenxie?
nyie mkoa wenu n wa tatu kwa umaskini tz MNA hela za ndege?
keen kagera vijumba vya nyasi shaz MNA ubavu wa kujaza ndege?
Hahaaaa niajeHahahaha.. ila wewe chalii hahah
Hahaaa jamaaa upo au wahaya ni masikin sababu yalicccm?Umeongea kweli tupu
Dah... kwani watu wa kaskazini wanaanzia wapi? ..kuuliza si ujinga[emoji14] [emoji87]
HaswaHahaaa jamaaa upo au wahaya ni masikin sababu yalicccm?
ukitaka kujua akili zako hazifikirii,inawezekanaje uwanja usio wa kimataifa bukoba uzidi uwanja wa kimataifa kia kwa abiria?Acha uongo bk airport inachukua watu laki tano kwa mwaka hebu Goolgle sio porojo.halafu kia ni wa kimataifa na kumbuka tz kuna vitatu vya kimataifa tz inaitegemea hivyo .watu wanaoenda bk kwa ndege ni wengi sana ndo maana mkulu anawapanulia uwanja wa bk.ili ndege kubwa zitue pale
100% truthKaskazini ni Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Ni jamii imara yenye kila kitu kasoro himaya.
Ila Arusha na Kilimanjaro ndiyo notoriously talked about because hapo ni jamii ya Wachagga imetawala na tamaduni zake zilizotukuka
bukoba nimekaa miez 5 kule kashaiUtaaibika sana ukifika bk
kula ndimu/"limauKwa hiyo?
yaan acha tudoh wahaya wana sifa jaman,na ndo kinachowaponza
Ila akili yako haiko sawabukoba nimekaa miez 5 kule kashai
pia pale njia panda ya mutukula rwamishenye napo nimekaa
bukoba imechakaa sana ndio inaonyesha hali halisi jinsi mlivyo yaan stand kuu ya mkoa vumbi hata stand ya kijiji changu haipo hivyo
yenu ndio haipo sawaIla akili yako haiko sawa
Haya umeshinda broyenu ndio haipo sawa
maana mnajigamba kumbe mkoa wenu wa 3 kwa umaskin
hahahaHaya umeshinda bro